Ibn bahlul
Member
- Feb 12, 2015
- 7
- 0
Vingunguti kwa wajanja! karibun supu ya mbuzi
Vingunguti kwa wajanja! karibun supu ya mbuzi
Sangamwalugesha
Sangamwalugesha
Dah...
Napakumbuka huko nilikuja mwaka 2007 kikazi
ndio nchi gani hiyo
Huku sio nchi mkuu ni Sangamwalugesha
hahahahaha ndio ipo mkoa gani wilaya kijiji gani mtaa gani
Huku kila kitu kunajitegemea, ni hivyo hivyo kunaitwa Sangamwalugesha.😀