JF members wa Dar pita hapa tutambuane

JF members wa Dar pita hapa tutambuane

Kutambuana kwa kutaja maeneo anayokaa mtu haitoshi,ni vema mtu akasema jina lake halisi,anakaa wapi na mkate wake wa kila siku anautafutia wapi

Kutaja majina halisi usitegemee hata siku 1 kama itatokea hapa JF
 
Dar Es Salaam, wilaya ya Temeke, kata ya Azimio, mtaa wa Kichangani karibu na msikiti mkubwa wa ijumaa, hapo ndiyo home wakuu kama kuna member yeyote anaishi maeneo hayo basi si vibaya tukifahamiana!

Umesomeka mkuu...
 
aa kumbe ni wa Dat ndio wanacomment.....!
 
Kutambuana kwa kutaja maeneo anayokaa mtu haitoshi,ni vema mtu akasema jina lake halisi,anakaa wapi na mkate wake wa kila siku anautafutia wapi

Hahaha unafikiri nani haogopwi kung'olewa meno na kucha humu? Kutaja sehemu unayoishi na jina kamili sioni kama ni salama kwako hata kidogo.
 
Kutambuana kwa kutaja maeneo anayokaa mtu haitoshi,ni vema mtu akasema jina lake halisi,anakaa wapi na mkate wake wa kila siku anautafutia wapi

Unataka kuwakimbiza walimu.
Maana ndio wenye maneno ya shombo sana.
 
Back
Top Bottom