pugu kajiungeni
Sio kweli mkuu...mbeya huwezi fananisha na Dar
Hahaha unafikiri nani haogopwi kung'olewa meno na kucha humu? Kutaja sehemu unayoishi na jina kamili sioni kama ni salama kwako hata kidogo.
sikuhizi tunajiangusha katikati ya barabara tunasema umegonga ukisimama tu huna kila kitu kuanzia taa hadi redioAsante ila roba za mbao zimeshapungua kwani?