The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,815
- 116,788
Ni mimi nini?Basi itakuwa ni wewe
Ni mimi nini?Basi itakuwa ni wewe
Hizo mbege zitakuuwa nakwambiaUpige bao la kiume bwashee 🤣
Anasema eti we ni mimi 😂🙌Mtu amejoin JF 2017 una muita mgeni?
Kwahiyo wewe uliyejoin 2021 ndio mwenyeji kumzidi?
Au ulitaka kujilinganisha nae kwa ile ID yako nyingine?
Huyo kisha changanyikiwa,Anasema eti we ni mimi 😂🙌
You have so much potential stop wasting your life away,🤣🤣🤣 ndio malengo yangu bwashee
Mna shida sana nyie wazee, kazi yenyu kufatilia watu humuHuyo kisha changanyikiwa,
Sasa hivi anaishi maisha ya wasiwasi kama muuza mirungi.
Mpe ukweli umponye, ndugu yetu ameridhika kupush Toyota Aqua ya shemeji yakeHapana bwashee
Kwani na wewe ni Mtu?Mna shida sana nyie wazee, kazi yenyu kufatilia watu humu
We jamaa mgeni Umejuaje ID yangu?
😄😄Bro🤣
Sasa si unaona hashiriki, ni sawa na mgeni tuuMgeni huyo kajoin 2017 ndugu de 🔫nner?
Akuchaguliaye tusiSi useme tu wanaokaa kwa shemeji unamaanisha Elevenn
Acha kucheka cheka kama fisi wewe mmatumbiBro🤣
😂😂😂 nimecheka km chizii, khaaahJF ndio sehemu pekee mtu anakushushia matusi ya nguoni, badae anasahau, anabadili ID anakuja kukuomba kazi/ajira. 😊
Bwashee unajua huyo dogo anachomiliki ni hiyo broken english yake tu,Bwashee sisemi chochote kijana kanipiga kwenye mshono , kadai natamba na sina chochote 🤔
Walete kati🤣🍺🍺