Jf legeza ubongo

Jf legeza ubongo

Mna shida sana enyi wamatumbi msio na maisha mazuri. Kazi kukaa makomwe na kufatilia kila step za watu. Mwanaume mzima unaandika nini hiki?
Kama huelewi nilichoandika basi nitarudia Tena

Kuna siku dada yako atakuwa anaumwa halafu shemeji yako atataka umsaidie dada yako kumpa raha au unyumba hivyo jiangalie sana
 
Ukija na akili yako ya kiyumbu humu unakalishwa kilaini sana 🤣
Humu unatakiwa ukae kiaskari , hakuna fala ila mafala wapo ila wakielewa game wana badilika haraka.


Humu kuna wasomi, matajiri , na sisi wenye kubadilisha mlo na bia ya kujimudu hapa nipo 🤣.


Humu kuna wale ni wasomi wanaokaa kwa shemeji au wazazi ila walichobakiwa nacho ni kujiamini tu , hapa kuna wimbi😃

jf ni yetu sote 🤣 kwa sasa nimezima kwa pombe mabwashee😃😃
Kikubwa heshimu heshima asiekuheshimu usimuheshimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom