Manigga Qwame
Senior Member
- Jul 10, 2021
- 103
- 186
Kikubwa heshimu heshima asiekuheshimu usimuheshimu.Ukija na akili yako ya kiyumbu humu unakalishwa kilaini sana 🤣
Humu unatakiwa ukae kiaskari , hakuna fala ila mafala wapo ila wakielewa game wana badilika haraka.
Humu kuna wasomi, matajiri , na sisi wenye kubadilisha mlo na bia ya kujimudu hapa nipo 🤣.
Humu kuna wale ni wasomi wanaokaa kwa shemeji au wazazi ila walichobakiwa nacho ni kujiamini tu , hapa kuna wimbi😃
jf ni yetu sote 🤣 kwa sasa nimezima kwa pombe mabwashee😃😃