JF imenipatia binti.

huogopi???

Hata siogopi kwakuwa kuna mtu kaniambia there is nothing to fear than fear itself.
Halafu na mimi wacha nibandike tangazo nipate hata wawili watatu kama wao wameweza wana nini mpaka mimi nishindwe
 

Hongera sana,Kila la Heri!!!
 
hongera kumbe inawezekana mimi bado natafuta mume
 
hongera kumbe inawezekana mimi bado natafuta mume

Kwa hiyo hakuna u bf na gf, haluna uchumba ni mwendo wa ndoa tu.... Weka tangazo pia utapata applications za kutosha kuanzia watoto wa miaka 15 mpaka vibabu vya 70s.
Kazi ni kwako kama vodacom
 

Hakuna lisilowezekana, ili mradi ulifanya hivyo kwa moyo wa dhati na kumtumainia Mungu mwenyezi. Hongera kwa kufanikisha mpango wako na kutoa mrejesho (feedback) katika jukwaa.

Yatendeni yampendezayo Mungu ili hatimaye siku moja yeye mwenyewe apate kuwaunganisha katika ndoa takatifu ili mpate kibali cha kuishi pamoja kama mume na mke katika kuutukuza uumbaji wake yeye muweza wa yote, huku mkipeana pasipo kunyimana na kusaidiana katika maisha yenu ya kila siku.
 
Tunasubiria Kadi za Michango. Tafadhali usinisahau Uenyekiti wa Kamati ya DATSE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…