JF imenipatia binti.

hongera sn..yote yawezekana kwa kila aaminie
 
Kuchema kweli njomba, mi mwnjenu chichemi kintu chacha ivi. Chubiri. Bhaaaaa! Nke wa ntandao? Chielewi, kule kuchema kwa kweli. Chipati picha.
 
Congrats,Muumba awatangulie mfikie malengo.
 
Nasita kukupa hongera ama pongezi. Endelea kuwa mwangalifu sana maana humu mitandaoni vipo vingi vya hatari
vilivyojificha.
 
Nasita kukupa hongera ama pongezi. Endelea kuwa mwangalifu sana maana humu mitandaoni vipo vingi vya hatari
vilivyojificha.

Mkuu, hayo unayosema yanatokea hadi mitaani. Ni kuomba Mungu na kufuata principle ulizojiwekea, ila asante kwa ushauri wako.
 
::
Tena wee Lisa ndo heri zikuandamane hadi ukose mahali pa kuzihifadhi
=

Hahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaa! asante sana , Aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! na Mwenyezi Mungu atakabalie maneno yako yawe ya kweli.
 
all the best mkuu Eli79.
 
Last edited by a moderator:
Sasa itabidi nimwambie dada yangu ajiunge JF....
 
safi sana all the best..... Ngoja na mimi nikaweke tangazo pia
kidonda kimeshapona ndugu ????au ndio umeamua kupanda pikipiki nyingine kabla mifupa haijakuunga vizuri kila la kheri ,weka kwa ungenge uone kama hupati mara moja kutema mayai ugonjwa wa wengi aisee
 
Kuchema kweli njomba, mi mwnjenu chichemi kintu chacha ivi. Chubiri. Bhaaaaa! Nke wa ntandao? Chielewi, kule kuchema kwa kweli. Chipati picha.
Hata negative hupati.
 
kidonda kimeshapona ndugu ????au ndio umeamua kupanda pikipiki nyingine kabla mifupa haijakuunga vizuri kila la kheri ,weka kwa ungenge uone kama hupati mara moja kutema mayai ugonjwa wa wengi aisee

Hahaha nilikumiss kumbe upo, kidonda kimeanza kauka sasa nimeamua kuwa like a politician in a mission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…