Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.
Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.
Tetra na wewe nakutakia Kila la Kheri .::
Kila la kheri
=
copy kwa wahanga wote waliotendwa humu ndani.
Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.
Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.
Hongereni sana kwa kupatana. Nawatakia kila lililo jema ktk harakat zenu za kuelekea uchumba na ndoa