Basi wakubali kutii maagizo watakayopewa.Matangazo si ndio yanalipia gharama za uendeshaji wa jukwaa na kulipa mishahara ya wafanyakazi boss?
Huyo ameshafanya mengi ni lazima alipwe kwa ukatili alioufanya hadi sasa. Yaani hakupaswa kuzushiwa, bali inatakiwa iwe kweli na picha zake zisimbazwe nchi nzima.Hatari Sana.π€
Sasa fikiria sasa wewe ndio umezushiwa hivyo. Au kwa vile sio maarufu huoni impact yake?
Wewe sasa hivi kuingia jf hutumii vpn?Nimeandika na kufuta mara nyingi itoshe kusema Jf ya VPN ilikuwa inanoga zaidi.
Anakataza watu wasiseme uongo ikiwa yeye thread yake ni uongo tupu. Jf haijafunguliwaOpera ina buit in Vpn
Chrome na Opera zina built in Vpn ndiyo maana unaingia bila 'hodi'.
Mtu yeyote hahitaji Vpn kuingia chrome ama Opera.
Ndiyo maana tunakueleza kuwa Jf bado haijafunguliwa.
Ikifunguliwa, app utaingia bila Vpn.
Sasa hapo unahisi hao watu wanataka nini?Walimtisha ndio. Na wangemuua kweli wala sio uongo
Sina hakika kama wamefunguliwa, ila hilo la id's kutakiwa sio jambo la leo tu, ni la muda mrefu. Siku za nyuma kulikuwa na mods walikuqa wanavujisha id za watu, lakini jf wakaongeza security, hata wao hawajui id ni ya nani kwa sasa. Sana sana ukiweka maudhui yasiyopendwa na serekali wanayafuta.Basi wakubali kutii maagizo watakayopewa.
Wasifikiri wamefunguliwa kwamba wanapendwa..!!
Kuna kitu wanakitaka, wajiandae kuvamiwa tena na kuombwa Ids za member..
Tena mods kama una bifu naye na kaacha kazi anakuchoma chap πΉπΉπΉSina hakika kama wamefunguliwa, ila hilo la id's kutakiwa sio jambo la leo tu, ni la muda mrefu. Siku za nyuma kulikuwa na mods walikuqa wanavujisha id za watu, lakini jf wakaongeza security, hata wao hawajui id ni ya nani kwa sasa. Sana sana ukiweka maudhui yasiyopendwa na serekali wanayafuta.
Wewe Mswahili matusi na uzushi yangekuwa ni tatizo kubwa hivyo kusingekuwa na mitandao yoyote ya kijamii duniani.Kama ni hvyo Sawa.
Uzushi nao ni mwingi pia.
Ipo hivyo ;Haijafunguliwa.
Saazingine huwa app inamissbihave inaachia na baadaye kujifunga tena.
Emb rudi nyuma uone kama utaweza kuingia bila Vpn mkuu.
Unachagua Nani wanatakiwa kubaniwa.Inakubali mbona
Kuna mtu aliuliza matusi yanauma kuliko risasi?Wewe Mswahili matusi na uzushi yangekuwa ni tatizo kubwa hivyo kusingekuwa na mitandao ya kijamii duniani. Kwanza JF hakuna matusi, ni lugha ya ukali tu ambayo MaCCM na machawa wake hawapendi ndio huwa wanaosema matusi.
Furaha yake akiona kaweka uzi alafu watu wanakua na attention kuchangiaHuyu boya anapenda kukurupuka. Imefunguliwa wapi?
Unachagua Nani wanatakiwa kubaniwa.
Haipo VPN free kwa users wote.
Sitaacha kutukana, labda mnipokonye simu.
Ukweli au uzushi?..kuna nyuzi ngapi za uzushi kuelekea uchaguzi toka kwa yule jamaa muongo muongo na manabii fake?..kwamba hagombei,mwezi wa Saba Saba hapo ataliwa kichwa,wa tisa ataliwa kichwaHaijafunguliwa, nadhani wamejisahau tu. Baada ya muda mfupi lazima utumie VPN tena kuingia. Matusi humu ni machache, kisichotakiwa na serekali ni ukweli. Jukwaa hili halikufingwa kwa sababu ya matusi, bali ni kwa kuongea ukweli usioipendeza serekali.
Huyu boya anapenda kukurupuka. Imefunguliwa wapi?
Faya π₯.π π€ Hatari