ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,770
- 39,697
Sawa kama utanilinda 😊😅Sisi hatu "nyakuani" tunaenda wote kwa ajili ya kuburudika kwenye pati hii ya Kipepe. Hautanyakuliwa, utakuwa na mimi. 😊
Sawa kama utanilinda 😊😅Sisi hatu "nyakuani" tunaenda wote kwa ajili ya kuburudika kwenye pati hii ya Kipepe. Hautanyakuliwa, utakuwa na mimi. 😊
Hayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hii😅Bamtu nitakuwa na wewe.
Mwanzo Mwisho.
Nimekuwai 😝
Mhm muone huyu😅😅Hayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hii😅
Hayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hii😅
Nacheka kama mzuri 😅😅Viroba vitakuwa vingi Kawe Beach huko, Ununio na kwingineko.
Sawa kama utanilinda 😊😅
Una paja la kuku ?Haya ndo mambo sasa! Haya nipe masharti basi. 😊
Weka tarehe niweke kwenye ratiba. nitakuwepo
Kutakua na VIP, mnatulia kwenye masofa mnasikiliza zilipendwaHayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hii😅
Una paja la kuku ?
Kutakua na VIP, mnatulia kwenye masofa mnasikiliza zilipendwa
Haya ni mawazo yakoViroba vitakuwa vingi Kawe Beach huko, Ununio na kwingineko.
Utajitahidi tuHayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hii😅
Upo kwenye mipango hiyoNakazia kuhusu tarehe. Aweke na "dressing code", mi pia nitakuwepo. 😚
Hapa usalama ni mdogo🤣Kuku hawa hawa, au kuku gani? 😊
Hapa usalama ni mdogo🤣