Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,482
- 15,122
Balaaa na nusu ndiyo taken yenyewe inabidi uwe mpole.Aisee! Ni mtafutano!🤣💔
Balaaa na nusu ndiyo taken yenyewe inabidi uwe mpole.Aisee! Ni mtafutano!🤣💔
Aah hapana kila mtu anao uhuru, tusibanane bwana!😀Balaaa na nusu ndiyo taken yenyewe inabidi uwe mpole.
Rahisi kutamka, utakula za mwakinyo mpk uombe kufunguliwa geti.Aah hapana kila mtu anao uhuru, tusibanane bwana!😀
😆😆😆Rahisi kutamka, utakula za mwakinyo mpk uombe kufunguliwa geti.
Kuna sehemu special VIP ambazo hamna kelele za mizikiMimi sipendagi makelele je kutakuwa na mdundo maspika wireless?
Acheni uoga hii ni mipango ya kiburudaniMtego Huu
Miye Economy ndiyo kunanifaa watu weeeeee, watu oooohhhhKuna sehemu special VIP ambazo hamna kelele za miziki
Mimi sitaki kuchungulia vitu ambavyo nishaviona! Au kuna mpya huko?
Mambo ya LEO TUPO HAPA PUB daaahNimekumbuka samaniii......
Cc: Mtambuzi, Paloma wengine nishasahau aiseee...🤥
Hapo kwenye swimming pool hapoo.....!🤔Tunawaza location itakua na gorofa Moja, swimming pool muhimu, mziki wa taratbu na nyamachoma za kuku na ng'ombe
Usikose mwanangu tunakaa zetu juu kwenye roof top.Mkiingia ndani tu polis inahamia hapo na id moja moja hadi mjitaje😂😂😂😂
Active kila sector 😂😂Mkuu,
Hilo nawaachia dam changa, siwezi maana mtu unatakiwa kuwa active mda wote, elewa neno active😅😅
Hapo kwenye swimming pool hapoo.....!🤔
Watoto Idd (wazee wa nyeto) watazua balaa
Nakosaje kwa mfano lazima niwepoUsikose mwanangu tunakaa zetu juu kwenye roof top.
Mtakosa mengiSiwezi kamwe kuhudhuria party za unyakuo😊
Mengi kama yapi mkuu😅Mtakosa mengi
Vyakula vya viwango, vinywaji, kikubwa utakutana na wandewa wa mji connection nnje njeMengi kama yapi mkuu😅