Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,765
- 7,300
Kazi na utu bwasheeKuna mtu unataka kumuingiza kingi
Kazi na utu bwasheeKuna mtu unataka kumuingiza kingi
Kwenye party lazima uwepoKabisa ba mkali!☺️
Ndiyo mwake mwake ukiitwa tuu unatoka km mshale No skuna hapo.Say no more mamaake, utanilaza na viatu🤸🏽♂️
Usiniache nyuma aisee🫢Kwenye party lazima uwepo
Oyaa! Yani utanikuta nimekamilika! Sichekeshi 😁Ndiyo mwake mwake ukiitwa tuu unatoka km mshale No skuna hapo.
Itabidi uwepo kuyashuhudia hayo😂😂Houseparty nasikia mnawekana live, au ni ushamba wangu?
Wewe nitakuweka kwenye kamati ya maandaliziUsiniache nyuma aisee🫢
Ndiyo maanake ma mtu, December to remember kaziiii ipoooo. Siyo Ba mtu kanipiga pini teh teh teh.Oyaa! Yani utanikuta nimekamilika! Sichekeshi 😁
Amani ipoKirahisi rahisi tu ufunge safari kwenda kwenye sherehe ambayo huwajui waandaaji wala malengo yake,...kiingilio bure ila uwe na laki 5 mfukoni., ***** kinaenda kutokea nini humo ndani Mkuu...?
Tena!😅Wewe nitakuweka kwenye kamati ya maandalizi
Ni full kuchunguliana, are you ready for that?😅😅Oyaa! Yani utanikuta nimekamilika! Sichekeshi 😁
Aisee akae kushoto zama za high season tunakuwa huru tu😎Ndiyo maanake ma mtu, December to remember kaziiii ipoooo. Siyo Ba mtu kanipiga pini teh teh teh.
Mimi sitaki kuchungulia vitu ambavyo nishaviona! Au kuna mpya huko?Ni full kuchunguliana, are you ready for that?😅😅
Mkuu,Itabidi uwepo kuyashuhudia hayo😂😂
Umeona umeanza kuruka, kwanini lakini pokea mamlaka mamtu bwana.Tena!😅
Unataka vipya? Kipepe atakuwa na vipya😅😅Mimi sitaki kuchungulia vitu ambavyo nishaviona! Au kuna mpya huko?
Siyo ktkt ya vibwanga unaguswa bega ma mtu unaitwa kona ilee,,,kuja kucheki huyo si alikuwa Dom mchana.Aisee akae kushoto zama za high season tunakuwa huru tu😎
We jamaaAmani ipo
Aisee! Ni mtafutano!🤣💔Siyo ktkt ya vibwanga unaguswa bega ma mtu unaitwa kona ilee,,,kuja kucheki huyo si alikuwa Dom mchana.