Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 1,851
- 4,497
Laki tano sisi walimu mtufikirie basi
Yetu itakua ya kiofsa, siunajua tena jf mtandao wa wasomiHouseparty nasikia mnawekana live, au ni ushamba wangu?
Connection zipo, unaweza ukapata hata mbunge wako akupush kwenye maishaSiwezi kamwe kuhudhuria party za unyakuo😊
Siwezi kamwe kuhudhuria party za unyakuo😊
Usipagawe na ID, unaeza Kuta Mimi ndio mkuu wako wa mkoaIkumbukwe katuni ya comrade kipepe ni mtu aliekua na rungu kubwa kwenye gazeti la sani..sasa maraa paaap...kumbe watu wanajikuta mtu kati na plaiz mixer mafuta ya kula kutoka singidq
Tupe dondoo, itakuwaje??Yetu itakua ya kiofsa, siunajua tena jf mtandao wa wasomi
Ulipolala wenzio waliamka!Connection zipo, unaweza ukapata hata mbunge wako akupush kwenye maisha
Ikumbukwe katuni ya comrade kipepe ni mtu aliekua na rungu kubwa kwenye gazeti la sani..sasa maraa paaap...kumbe watu wanajikuta mtu kati na plaiz mixer mafuta ya kula kutoka singida
Mzigo unafanyika mwisho wa mwaka, hatuwezi vujisha siriTupe dondoo, itakuwaje??
Huu uchozi veep we mtu ya lubumbashi😊😂Twende wote basi kwenye pati ya Kipepe. 😊
Noma!Mzigo unafanyika mwisho wa mwaka, hatuwezi vujisha siri
Huu uchozi veep we mtu ya lubumbashi😊😂
Ndio na unakuja na rungu lako na mini cameras above roof kuzumu jf..sababu ikiwa ni party automatic lazima kuna watu watalogin kutoa updates na vibe za hapa na paleUsipagawe na ID, unaeza Kuta Mimi ndio mkuu wako wa mkoa
Love at first sightTulia, hunijui
Itakua live jf na Uzi specialNdio na unakuja na rungu lako na mini cameras above roof kuzumu jf..sababu ikiwa ni party automatic lazima kuna watu watalogin kutoa updates na vibe za hapa na pale
ninja kongfu masterrr..a.aahhjj master
Nimekataa subiri darasa letu mwezi wa 12 sawa?Kwani mimi sio mtu! 😊
Acha kuringa basi, twende kwenye oati ya Kipepe. 😊
Mimi sitakuja...jicho la kiroho linacheza chezaItakua live jf na Uzi special