Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,272
Yego magamboki ?
Na wewe utakuwepo?
Yego magamboki ?
Karibu mkuuHahaa, zero distance tu; Ondoa shaka, nitaibuka!![]()
HahaaTena bora ili mjifunike shuka lake yule mmasai
Kaka utaudhuria?!Hii ni ya tatu ama nini?
Halikatiki hata kwa shokaPagumu kama goti la tembo
Baibui jeusi ndugu yangu vaa.jamani madame B sie wavaaji baibui na hijabu itakuwaje sasa hapo cc Hajar ujichange tusikose dada
Kiwe Kijora cha jeans lakiniVijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora




Pale option ya tatu ni black dress.jamani madame B sie wavaaji baibui na hijabu itakuwaje sasa hapo cc Hajar ujichange tusikose dada
Poa poa![]()
![]()
sawa mama ntakujulisha!
Atakuajue kama hujachanga au umechanga ukatumia jina lingine kuingia ukumbuni? Acheni kujishtukia bila sababu bwanaPeople here are invisible.. And looks like sm1 wana expose us![]()