kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Ni bora mkiiandaa nyie wenye ID Kongwe sisi wageni hatuaminikiTuandae sisi wawili, wengine wata join
Ni bora mkiiandaa nyie wenye ID Kongwe sisi wageni hatuaminikiTuandae sisi wawili, wengine wata join
Hahahaha,kwannNi bora mkiiandaa nyie wenye ID Kongwe sisi wageni hatuaminiki
Tunaonekana wavamizi, matapeli, acha tu humu wageni tunanyanyasika sanaHahahaha,kwann
MmmmhTunaonekana wavamizi, matapeli, acha tu humu wageni tunanyanyasika sana
Ndiyo hivyo mkuu, ukifanikiwa utanijulishaMmmmh
Kufanikiwa nn? We njoo Msasani Beach,tufanye party yetu kama uko DarNdiyo hivyo mkuu, ukifanikiwa utanijulisha
Nilikuwa sijaelewa kumbe Party ya watu wawili duh😂😂Kufanikiwa nn? We njoo Msasani Beach,tufanye party yetu kama uko Dar
Wengine,wata joinNilikuwa sijaelewa kumbe Party ya watu wawili duh😂😂