sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Doh watu wa mjini bwanaHapo karibu hivyo

Doh watu wa mjini bwanaHapo karibu hivyo

UnipitieI’ll be there
hilo nalo neno...ukiwepo nami ntalipia😉😉Unaogopa umewakosea kitu gani hao wasiojulikana? Na watakujuaje kama wewe ndo cmoney?
Bagamoyo hata Kimbiji mbali bwanaDoh watu wa mjini bwana![]()
Anataka niharibia jamaniiSio MTU nzuri kabisa
Hahaaaa utanirudisha na ile Prado yakoBagamoyo hata Kimbiji mbali bwana
Nitakuwepo. Na kuna utaratibu wa kutokujua Id za watu kabisa kama umerudia kusoma tena post. Labda utake tu tukuweke kwenye list ila unaweza Tumia majina yako ya uraiani bila wasi kwenye partyhilo nalo neno...ukiwepo nami ntalipia😉😉
Prado yangu ya miti au ile ya udongo shoga?Hahaaaa utanirudisha na ile Prado yako
Ya BatiPrado yangu ya miti au ile ya udongo shoga?

Mimi hapa natafuta wa kucheza nae blues.


Haha nitalala kwa mlinziNataks nikuweke sehemu salama.
Au tutakukodia mabodigadi
Mjini pagumu ujue hahaaaUmeona eeeee
Uingize kitumbua mchanga?
Itakuwa muskheri