Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Kigamboni raha kwenda. Wakati wa kurudi sasa ndo Majuto yanapoanzia





Kigamboni raha kwenda. Wakati wa kurudi sasa ndo Majuto yanapoanzia





Ndiyo hivyo jiandae na utetezi TuHahaaaa kesi tena jamaniunanioneaa
Na kinachochosha ni kule kuvuka Maji tu.
Baba swalehe mbona sababu nyingii acha zakoMm mlaf sana bora ncje hapo ntaharbu sherehe ya watu
Yaan we na cute b mnanichekesha sana mnataka soda za 20000 Mzigua90 kazi ipooYaap sisi tusio walevi lazima tukomae ikiwezekana ata na soda Bonge


DohNdiyo hivyo jiandae na utetezi Tu

Hebu waza kwa kutumia kichwa.Hii party ni jambo zuri ila tuwe makini. Mskute na watu wasiojulikana wata jitokeza kuwakamata target yao kwenye hio party. Nimewaza kiusalama zaidi, otherwise all the best and enjoy mtakaoenda
Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Labda waje kutukamata wote tulio kwenye party ila kwa mmoja mmoja watajuaje ID zao sasa?Hii party ni jambo zuri ila tuwe makini. Mskute na watu wasiojulikana wata jitokeza kuwakamata target yao kwenye hio party. Nimewaza kiusalama zaidi, otherwise all the best and enjoy mtakaoenda
Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Umenitesa sana sana
Ntawawekea kreti lao na sharti hamna kubeba
Karibini sana.
Kuna special couple seta.
Karibuni
Kwani lazima kuvuka maji?Na kinachochosha ni kule kuvuka Maji tu.
Hata kuzunguka darajani bado.Kwani lazima kuvuka maji?
Sio kwamba tutakayoyaona huko yaishie huko huko😂?Ukimuona naomba unitumie picha yake !
Sio ishu bana...labda tu hamkupenda kuleHata kuzunguka darajani bado.
Njoo nikulipie mamiiiAtakayenilipia nipo tayariii
Doh nisamehe jamaniUmenitesa sana sana