Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 52,751
- 96,895
Hasahasa huyo wa 50s anapojua kucheza kiumri wowote.Humu raha sana! Unapiga story na mtu wa 50's kama upo na gen Z mwenzako
Hasahasa huyo wa 50s anapojua kucheza kiumri wowote.Humu raha sana! Unapiga story na mtu wa 50's kama upo na gen Z mwenzako
Astaghifilulah!Huo ndiyo mwanzo wa kunawa supu.
Wanapiga porojo za kutosha ila kwenye vitendo ni hatari sana.Naamini hatujapata mapooza kivile.Gen Z wameanza kuiharibu JF yaani ckuiz ni tu porojo zinazopigwa tu humu
Kwanini wewe usilete vitu vya maana?Gen Z wameanza kuiharibu JF yaani ckuiz ni tu porojo zinazopigwa tu humu
Kweli "MAMBO IPO HUKU NA TAARABU IMO"!Nasma Khamisi Kidogo.Kama hivi!?View attachment 3615656
Naomba kuuliza! Ulienda jando?Kama hivi!?View attachment 3615656
Mimi sio Gen Z mwaisaKwanini wewe usilete vitu vya maana?
Kwani jf ni ya gen z peke yake?Mimi sio Gen Z mwaisa
Kwanza kuna huyu dogo anaitwa Mbaga Jr, hovyo kabisa 😂Mada zao maarufu
Puchu na kukandia ndoa na singo maza😂
Wala, lakini Siku hizi id nyingi ni za Gen Zs.Kwani jf ni ya gen z peke yake?