JF generations LTE

JF generations LTE

Nje ya mada
Binti yangu kaniuliza kuhusu jamii forum Leo. Anaingia second year.
Nimemjibu ni jukwaa la great thinker kiukweli kazunguka humu nimepigwa spana natoa macho nakutana na mada hii.
Majibu yangu hayaeleweki
Nimecheka sana ila kwa uchungu.

Mshana Jr leo dada ukweli ni kuwa JF imekuwa ya kiboya sana ni basi tu tunaingia kwa mazoea humu.
 
First generation ndio imetoa viongozi wengi sana hasa wa kisiasa na maarufu..
Hao pamoja na anonymous na elites wengine ndio wamesimika mizizi ya heshima ya JF
Lakini hapo hapo yakafanyika makosa ya kibinadamu kwenye kutambuana kati ya member wapya na wazamani

Hii hali ndio ilipelekea JF second generation ambayo ilizalisha mada maarufu za Makapuku forum ambao nai wakabaguana na kupelekea kuzalisha Mada ya likes.. Yaani hata ukikomenti hewa unapata likes za kutosha😂

Kubaguana na kunyimana ama kupeana likes kulichangia pakubwa umaarufu wa hii mada!

Sasa tuko JF third generation GEN-Z😂
Je ni makosa yapi yanafanyika?
Je itakuja na kipi kipya kuponya hayo makosa?
Je itakuwa ni kuharibu zaidi?View attachment 3615556
Nadhani ilivyokuaga hapo awali ndio ilipaswa kuwa hivyo kulingana na zama na ilivyo sasa ndivyo inavyopaswa kuwa hata itakavyokua baadae ndivyo itakavyotakiwa kuwa coz Kila generation inakuja kinamna tofauti, so kuna namna kama ulikua kwenye zama fulani za generation yako, generation mpya ikija utajikuta tu unashindwa kufit kwenye mitazamo yao mingi na ndio hapo unakuta watu wengi ambao walikuwepo zama hizo wamebaki kuwa wasomaji tu.
 
Tunataka jukwaaa la mashangazi..
Jf iwe huru tupewe uhuru wa vijana kuwa connected na mashangazi wanao patikana humu jiefu.
 
Nimecheka sana ila kwa uchungu.

Mshana Jr leo dada ukweli ni kuwa JF imekuwa ya kiboya sana ni basi tu tunaingia kwa mazoea humu.
Nadhani pia ni mahitaji ya nyakati... Na AI imechukua nafasi ya critical thinking

Nadhani ilivyokuaga hapo awali ndio ilipaswa kuwa hivyo kulingana na zama na ilivyo sasa ndivyo inavyopaswa kuwa hata itakavyokua baadae ndivyo itakavyotakiwa kuwa coz Kila generation inakuja kinamna tofauti, so kuna namna kama ulikua kwenye zama fulani za generation yako, generation mpya ikija utajikuta tu unashindwa kufit kwenye mitazamo yao mingi na ndio hapo unakuta watu wengi ambao walikuwepo zama hizo wamebaki kuwa wasomaji tu.
Target audience theory..!💪🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom