Ningesikitika kama angekua anaijua! Namkaribisha jf sanaWewewe I'd yangu hawezi kuijua kamwe.
Yake na password nimepewa lakini nimeambiwa the forum is too boring.
Sina mambo ya ajabu kivile though lazima nimpe I'd yangu huko mbeleni maana tumeleanq kuongea ukweliNingesikitika kama angekua anaijua! Namkaribisha jf sana
Ana wiki moja yeye toka aijue jfNimesema hivyo kwakuwa hiyo ni ID mpya mchana wa Leo
Umeenda kule kule thought the dress code umechapiaNimepatia au nimeunguza nifute fasta?ðŸ˜
Itakua wa kula tunda kimasiharaDah.. Kaingia jukwaa gani maskini😀
Hujakosea sana bestNadhani kwakuwa nimeacha uganga😀
Hajafika hukoItakua wa kula tunda kimasihara
Au kasoma nyuzi za shangazi yetu wa zamaniHajafika huko
Hapo ndo Nina wasiwasi,, Niko bize kudadisi kama kweli nimpe elimu tu maana yuko 19 Sasa sina namna ya kumzuia zaidi ya kumueleweshaAu kasoma nyuzi za shangazi yetu wa zamani
Akija kusoma hapa akiunga dots atakubamba tuSina mambo ya ajabu kivile though lazima nimpe I'd yangu huko mbeleni maana tumeleanq kuongea ukweli
2021 mzee alinipa simu yake nikatoe hela kwa wakala niliona app ya jf, wakati huo nilikua naingia kama guest tuKazi ipo!Tuendelee kupishana na watoto wetu tu humu majukwaani ila tusizitambue ids zetu.