JF generations LTE

JF generations LTE

Jando si wanafundisha kuishi na mwanamke?
Jando ni mafunzo maalum ya kimila na kitamaduni yanayotolewa kwa wavulana au vijana wa kiume wanapovunja ungo (kubalehe) ili kuwaandaa kuingia katika hatua ya utu uzima. Katika jamii nyingi za Kitanzania na Afrika Mashariki, mchakato huu huenda sambamba na kitendo cha tohara
84b21290-a0b9-11ed-8f65-71bfa0525ce3.jpg.webp
 
Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.

Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals

Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
Lazima atakuwa amekutana na msamiati kama:
Makebo,
Kunyetuka,
Kudinya,
Mbususu,
Kiadriz,
Jagina,
Maanabelle
Etc.
 
Back
Top Bottom