leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 2,265
- 10,673
Hata akinibamba mi mama yake Kuna vitu atanielewaAkija kusoma hapa akiunga dots atakubamba tu
Wa kiume alishawahi kuniuliza kama naijua hii forum nilikataa. Na yupo humu
Hata akinibamba mi mama yake Kuna vitu atanielewaAkija kusoma hapa akiunga dots atakubamba tu
Haujamaliza kueleza vizuri.Uliifungua hiyo JF app?2021 mzee alinipa simu yake nikatoe hela kwa wakala niliona app ya jf, wakati huo nilikua naingia kama guest tu
Naomba asifanye hivyo jamani. Lakini aliniambia hii forum hajaielewaAnaweza akatengeneza multiple ID ujue
Sikufungua! Ningejua mambo ya humu yalivyo ningeifungua ili niwe namchora tu😂Haujamaliza kueleza vizuri.Uliifungua hiyo JF app?
Hata mimi jf mwanzoni sikuielewa nilikua nashindwa hata jinsi ya kuitumia hapo nilijiunga 2022 ila nikaja kuielewa 2023Naomba asifanye hivyo jamani. Lakini aliniambia hii forum hajaielewa
Vipi kama ungejua kumbe ni mimi?🤔🤔🤔🤔Sikufungua! Ningejua mambo ya humu yalivyo ningeifungua ili niwe namchora tu😂
Mzee wangu navyomjua atakua kati ya wale wazee wanaoshinda chitchatVipi kama ungejua kumbe ni mimi?🤔🤔🤔🤔
You're in for it,old boy!Umejiweka konani mwenyewe.Dawa njema ni ku-behave at your best!Hata ukichukia wewe jidai umepotezea tu.😂😂😂😂😂Sasa mzee mwenzangu Mimi nitafanyaje na hii verified😂
Ohhh!¡!!!Hata mimi jf mwanzoni sikuielewa nilikua nashindwa hata jinsi ya kuitumia hapo nilijiunga 2022 ila nikaja kuielewa 2023
Afadhali nimepona.Maana kuna wakati nikirudia kusoma nilichokiandika,hasa nikiwa nimechukia,huwa naishia kukemea mapepo tu.Mzee wangu navyomjua atakua kati ya wale wazee wanaoshinda chitchat
Niko naye hapa dinner tunasubiri yuko na mdogo wake wanaangalia mayara sijui amayar cartoon.Imagine sasa muda huu yuko kwenye hii mada anatuchora tuu🤣
Kwa hilo la kuwa mbele ya muda inatakiwa wazazi na walezi wawe mbele mbele yao aisee!Hatari hii.Watoto wa siku hizi wako mbele ya muda
Nina Imani atajiongeza 19 sina makali sana kivileWatoto wa siku hizi wako mbele ya muda
Humu raha sana! Unapiga story na mtu wa 50's kama upo na gen Z mwenzakoAfadhali nimepona.Maana kuna wakati nikirudia kusoma nilichokiandika,hasa nikiwa nimechukia,huwa naishia kukemea mapepo tu.
Akijua in a positive way sio shida.Afazali.. Lakini baadae akija kujingia huku si anaweza kuona!?😀