The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
mchizi umekurupuka anga hizi za mavampire,
wewe mtoto sura nzuri tutakufanya vibaya,
Kimistari tuko fiti zaidi ya katerero na wahaya,
Stick hizi double finga katikati ya makalio,
Umechemsha dogo anga hizi kwako sio,
We tozi infamous, mjepu nakupa nauseauos,
kwa hizi rhymes zenye counscious,
umetry kubaro japo mashairi yako choka kama kiporo,
unauwezo wa kukopa, una mimba ya mdomo ndo maana hutoki hata kwa promo,
huna mtisho wa rymths kiuwezo umezama na mistari yako mama,
nikikuangali unavyovutia, naharakisha nikupate kabla hujaolewa,
nikubali mimi rijali ntakutunza upendeze wakutamani mamentali,
unangaa, nikikushika mkono moyo unashtuka paa, kaa na mi utulie kila time ntakupa mwaaa.
word up.