Yuko fiti kote kote arifu,
Futboli na Bedboli ebo!!!
Yani wee acha tu ukipewa sh.20 unapata 2 tamuuuu!!!!Sana.....siunakumbuka enzi zetu za mwalimu?
Ndo zilikuwa ndo zenyewe
Mphamvu hujui Golden Mpoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza?nipo swahiba.
Mishemise tu mjini hapa, huyo mke wa kuleta kesi ametoka wapi tena? Wifi yenu G. Mpolee tangu atokomee mazima ndo sijapata mbadala wake tena...
Khaaaaaaaaa!Hahahahaahahaaaaa hata kama ni mayai ila ile kitu jua kali noma labda niwe nimeopoa Housegirl wa jirani lol
Teh hivi Loy hujui hata anayekukagua kiwango chake ni cha juu sana?
Utaaibika ooooh shauri yako
Ina maana Husninyo hakutosherezi eeeeh?Aisey ! Hapa nimekukubali kijana cha kike Penzi walijua! POVU kg 50 limekumwagika kwa namba tu! Je ungesikia kanyimwa ugali ? Pangechimbika!
Mie bahati kama hii sijaipataga bado!
Hahahahahaaaaa wewe una balaaa aiseee hupendi nienjoy love na my Amyner?Khaaaaaaaaa!
Kwani huna AC jaman shem?mbona unaniabisha?
Nataman Amy apite pande hizi asome hapo kwenye red!!!
Naombeni waandaaji wa mechi mnipe dili la kuuza maji ya kunywa kwa mashabiki,wachezaji watakunywa bure.Pia nitauza mavuvuzela na vibendera vya timu zote mbili vitapatikana.
Yani swaiba ww acha tu,Aisey ! Hapa nimekukubali kijana cha kike Penzi walijua! POVU kg 50 limekumwagika kwa namba tu! Je ungesikia kanyimwa ugali ? Pangechimbika!
Mie bahati kama hii sijaipataga bado!
Hhahah hahhaa,Hahahahahaaaaa wewe una balaaa aiseee hupendi nienjoy love na my Amyner?
Mh ila ninachompendea Amy anawajua The Majungu na Fitina makers so akikuta wewe ndo umeandika haya atasema 'I love u Erickb52' halafu ubaki unang'aa macho
Hahahahaaa zoezi umelipigia wapi?
Kushoto au kulia?
Hahahahahaaaaa wewe una balaaa aiseee hupendi nienjoy love na my Amyner?
Mh ila ninachompendea Amy anawajua The Majungu na Fitina makers so akikuta wewe ndo umeandika haya atasema 'I love u Erickb52' halafu ubaki unang'aa macho
Kwanza wewe ndo una kesi nyingi sana na kubwa kuliko mimi so acha kunimaliza coz hata mi ntakudill hadi uachike....B52 Hujaongea bado!
Utetezi dhaifu kabisa! Namtaka shem Amy mwenyewe aseme, unamjibiaje?
Alafu badala uanze kuzima huu moto wako uliouwasha! Umekimbilia kukolezea moto kwangu!
Ule wangu hauhitaji fire bregade kuuzima, huu wako unataka vifaa !
Umekoleaje ?
Unadhani kwanini Rejao hachomoki ingawa anajua wazi Canta ni CHADEMA original?Chezeiya Canta!!!
hahahahaha---hapana chezeiya kabisa