Nani aelewe? Atakuwa anakusanya mipira inayotoka njeDuuh! Muhazini Mangi !
Sijui kama watakuelewa!
Hahahahahaaa ataweza mikiki ya mabeki wa timu pinzani?
Hahahahahaaa tatizo lako watu wameshindwa kujua kama ni dada au kaka so wanaogopa kupanga timu ya jinsia Mbili....
We kaa jukwaa la Ufundi kama ulivyokuwa umeomba mwanzo
Mechi lini? Viungo vya ODM vimeshapashwa joto hapa....
Nani aelewe? Atakuwa anakusanya mipira inayotoka nje
Mamndenyi anaelewa hata futbo basi, anadhani Drogba anacheza netbo
Mie nimejichagua kuwa mmiliki wa timu, abromovich wenu.
Mkiniudhi nauza timu
Hahahahaaa uza samaki uje na mapesa sio vipesaNani aelewe? Atakuwa anakusanya mipira inayotoka nje
Mamndenyi anaelewa hata futbo basi, anadhani Drogba anacheza netbo
Mie nimejichagua kuwa mmiliki wa timu, abromovich wenu.
Mkiniudhi nauza timu
mtanganyika
Dah unataka uwe unakunja cross za kutosha eeeeh
Dah fanya mazoezi sasa
Kuna haja gani uuze timu ? Si bora uuze wachezaji mahiri ?
Mf. Maziwa mtindi , Siasa wameanza kumrubuni kumnunua, ukijisikia kuuza anza nae !
:fish::fish:Hahahahaaa uza samaki uje na mapesa sio vipesa
Awapi,yani msipompa mme wangu namba mechi haitakuwepo,Hahahahaaaa shem sio mimi ni jamaa wenzake wa Jukwaa la Siasa ndo wamesema hafai kwa kuwa Chit-Chat wanaweza kumuhonga akaachia magori.....
Najua itawauma sana kukosa match ila hakuna tatizo wakati mwingine atashiriki...
Hahahahahaaaa uje nacho hicho maana inaonekana match itakuwa ngumu sana
Jaman swaiba upo?Naona kikosi cha kwenye kiibodi kishakamilika. Nasubiri cha uwanjani sasa, mimi ni super-sub, sijui kukokota, sijui chenga wala kutunishiana musuli, najua ku-position na kufunga tu, mwili wenyewe si mnauona jamani?
Hahahahahaaaa usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesikosi kaka siunajua mambo ya kupiga vita mwili uzembe nikumbushie vitu vyangu ka zizou siku brazil na france kudadek jasho la pua tu lantoka, huku wakina madame, ritta mis jud msituumiziee mi bichwa hilo naendeleza makamuzi.
Teh we inakufaa namba 9 au 10....Naona kikosi cha kwenye kiibodi kishakamilika. Nasubiri cha uwanjani sasa, mimi ni super-sub, sijui kukokota, sijui chenga wala kutunishiana musuli, najua ku-position na kufunga tu, mwili wenyewe si mnauona jamani?
Awapi,yani msipompa mme wangu namba mechi haitakuwepo,
Na hili ntalisimamia mie Ebo
Awapi,yani msipompa mme wangu namba mechi haitakuwepo,Na hili ntalisimamia mie Ebo!
Hahahahahaaaa usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee