Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
-
- #81
Umeipata nafasi hiyo,wewe utacheza kama binti wa Kilokole anayeitumia Biblia vibaya ili kuficha maovu yake unayotumiwa na jimama tajiri( farkhina ) kuliko Bakhresa ili aweze kumuua Rais wa nchi na kumweka mwanadada fulani machachari sana hapa nchini.Nafasi ya binti mlokole mnikumbuke tafwazaaaali!!
Fanya hivyo na usikubali kupigwa kibao hata kimoja na Kaizer asije akaharibu matarajio yako ya kuonekana kwenye cover.asante Washawasha wacha sasa nianze zoezi la pozi lakutokea kwenye cover
Hii kali... Washawasha mpaka nipate ruhusa maalum kutoka kwa Erickb52
BujibujiCC:- chama.Ona mkeo alivyopigwa na mshtuko kusikia nataka kucheza movie na FaizaFoxy. Mamndenyi, pole sana kwa kuamua kufa na tai shingoni. Kunipenda unanipenda, kunitoa moyoni mwako umeshindwa, chama naye wazipenda hela zake za kiinua mgongo, kuziacha unaona utaingia hasara, utafikiri ulisaidia alipokuwa akizitafuta.
Nimekuruhusu kucheza naye hizo scene.
Nalog off
Tena umalize maujuzi yako yote.Ahhahahaa sawa mkuu
Tena umalize maujuzi yako yote.
Nalog off
Wewe unapendekezaje?Kama ni mabaunsa inabidi wawe na tshirt kama vibody au suti fulani.
Kama ni hawa wamagetini ambao njaa kibao itabidi tuwatafutie hizi za security group au kama za mgambo.
mbona wanitisha naweza nikabadili mawazo kwenye hiyo part!Heeee si atauza hadi viatu vyake lol atatembea pekuuuu.
mbona wanitisha naweza nikabadili mawazo kwenye hiyo part!
Nalog off
Uzalendo utanishinda nikiona wenzangu wanafaidi.Hahahahaha wewe si director hebu acha mchechetu lol
Uzalendo utanishinda nikiona wenzangu wanafaidi.
Nalog off
cheka unenepe.Hahahahaha
Kwa mara ya kwanza kabisa nchini Tanzania Jamii Forums Home Intertainment itakuletea filamu kabambe kabisa inayohusu,siasa,uesharati,umbea,uchawi,biashara haramu,usafishaji wa fedha,vichekesho kwa chati bila kusahau yale yanayofanya dunia izunguke nina maanisha Mapenzi.Kama hujui kuigiza tutakufunza.
Casting:itaanza tarehe 20/11/2013 na kuishia tarehe 23/11/2013.
Muda:kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
Eneo:Bahari Beach Hotel.
Majaji: FaizaFoxy Mr Rocky Mamndenyi farkhina na Excellent.
Washiriki wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18-99
Tumia fursa hii kwa kunitumia Cv yako pamoja na picha mbili moja ya passport saizi nyengine ya mwili mzima kwenye inbox yangu.
Nafasi za kazi ziko wazi:
1.Producer
2.Director
3.Graphic dizaina
Jina la filamu:Nitaishije Bila ya Wewe?
Mtunzi : Washawasha
Camera man: Jerrymsigwa
Camera woman: ladyfurahia
Editor: mwekundu
Make up: Kongosho,msaaidizi: kabanga
Costume designer: double R
Mpishi: The secretary
Anayependa picha yake itumike kwenye cover la filamu hii basi atutumie.
Wafuatao wanatakiwa watume CV zao ili wapate nafasi za upendeleo: figganigga BAK ndetichia Baba V Katavi The Boss Bujibuji Asprin Kigogo klorokwini Kaizer KakaKiiza Adharusi muuza ubuyu watu8 King'asti Preta Paloma Lady doctor Madame B madame X double R BADILI TABIA AshaDii mimi49 DEMBA Nyamayao miss wa kinyaru KOKUTONA Jawilat Chocs ladyfurahia Valenti8 Avatar Avemaria Zinduna Mwali,
Nalog off
Washawasha hiyo avatar ya sa hivi napata shida kuizoea lolsio kwa mbali ni kwa karibu mnooo,maana mchezo huu hajauanza yeye hata Nabii Musa (AS) alipoulizwa utamchagua nani awe msaidizi wako? hakuumauma maneno alijibu moja kwa moja naomba NDUGU yangu Haruuni (AS) ndio awe msaidizi,kwahiyo lazima upendelewe tu na mumeo Excellent.
Nalog off
Bujibuji
Mambasa wanasema "Mla mla leo mla yana kalayani"??? Kama ulipendwa zamani yamepita hayo kaka; Mamndenyi hali pesa za kiinua mgongo anakula pesa za mwekezaji; FaizaFoxy acheze sinema na wewe?? mbona waniacha mdomo wazi atakuwa kapatwa na mswahibu gani yarabi toba; mmh haya acha niache kama yalivyo usilojua usiku wa kiza!