Jf filamu casting.

Jf filamu casting.

hakuna sehemu ya kucheza magaidi ka sisi maana naona nima beautful na mahandisumu boys tu
 
Ok...nae pia anaruhusiwa kuwa lokesheni?
Afate nini? lokeseni wanatakiwa wasanii tu ili wajiachie kwa raha zao,wake na waume wanatakiwa wawasubiri wenzi wao majumbani kwao.
Nalof off
 
Washawasha mbona mnanichanganya hivi huyu Exllent ninaemfahamu mimi kumbe ana mke?! kama ndo hivyo bora umtoe upande wa majaji hastahili, maana hatakawia kuomba rushwa ya ngo..o, huyu dogo hajatulia aisee.
Afadhali umebadilisha avatar ile ya mwanzo ilikuwa inanitisha
Hatoomba rushwa ya ngono kwa kuwa wewe si ndio my wife wake?nashukuru kwa kuipenda avatar yangu mpya.
Nalog off
 
Naomba picha yangu itumike kwenye cover la Filamu ya Biashara haramu ya madawa. Make nina maduka matano ya madawa, mawili yakiwa ni ya jumla yaan WHOLESALE...
Usihofu ombi lako limekubaliwa.
Nalog off
 
Jamani Washawasha mie naomba nicheze kwenye romantic scene halafu ndio niwe sterling wa filamu tafwadhali bila kusahau picha yangu ndio iwe kwenye film cover aisee
usihofu bi dada kila kitu kitakuwa poa,ngoja niongee na majaji.
Nalog off
 
Washawasha nadhani atatusikia na kutufikia...........nitafurahi sana uje hasa tukipewa zile scene fulani zile
ninyi mtacheza scene hizi Heaven on earth ni mwanamama maskini mwenye ndoto za kuufikia japo nusu ya utajiri wa jimama farkhina ambaye ana mpango wa kuipindua serikali ya Tz na kumweka mwanamama fulani kwenye kiti hicho, ndipo kwenye mihangaiko yako utakapokutana na Kachero Slave kwenye bar moja maarufu na yeye kukwambia anafanya kazi ya U-moderator wa mtandao wa JF na kujenga uhusiano naye wa kimapenzi na siku moja mkiwa chumbani mmejipumzisha unamwambia kuwa una wasiwasi na raia fulani wa kisomali( B'REAL ) aishiye mtaani kwenu anaweza kuwa ni muhusika wa mashambulizi ya Westgate nchini Kenya ili akaanzishe new topic kwenye jukwaa la Intelejensia.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Mimi niwe kubwa la majambaz basi kama inahitajika hyo nafasi, si unaona navyowaka moto kwenye avatar yangu, hapo nawahi mtoni kujizima then narudi kulipiza....full movie
nafasi yako ipo wala usijali.
Nalog off
 
hii movie sijui kamA wataiweza hawa washiriki. embu tazameni video hii ndiyo mjue mnachokwenda kukifanya huko location.

Kampuni yetu haijachoka kiasi hiki mpaka waigizaji wetu wale wadudu,washiriki watapata msosi safi kabisa kutoka kwa mpishi wetu The secretary.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
sawa kabisa ila tukiambiwa na director ''action'' sitaki watuambie tena ''pause''
ni kweli kabisa ni tutakuwa wakali kwa watu ambao wanasuasua,baada ya neno aksheni hakuna kusimama mpaka uambiwe na dairekta simama.
Nalog off
 
hakuna sehemu ya kucheza magaidi ka sisi maana naona nima beautful na mahandisumu boys tu
Wewe utacheza kama Memba wa Alshabab aliyefanikiwa kukimbia kwenye shambulizi la Westgate na kuja kujificha Tz ndipo utakapokuwa na shughuli pevu ya kukabiliana na kachero Slave.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom