Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,651
Ni swali la msingi watu8; ...... ila mbona umeanza ukorofi mapema, maana hapo ndo patamu kwa mjanja
teeh teeeh uwiiiii!
Heheh mkuu hata sio ukorofi si unajua mkono mtupu haulambwi
Ni swali la msingi watu8; ...... ila mbona umeanza ukorofi mapema, maana hapo ndo patamu kwa mjanja
teeh teeeh uwiiiii!
Wao watakuwa nafasi ya 6 maana ndio wanayoiweza.hahahaaa chezea mimi wewe, namba moja tutakuwa sisi, namba mbili sisi na tatu sisi.
umeipata nafasi hiyo.Hiyo nafasi itanifaa sana,,,,,,,,,,,
Washawasha...niemghairi! hiyo midevu..........!?!?! akuuuu!!!Kha! mbona nilishakupigia mahesabu toka zamani hiyo ni nafasi yako na najua utaicheza kwa ufanisi mno,hiyo picha we nitumie tu wala usijali.
Nalog off
hahahah usighairi bi dada mimi ni mtunzi tu,wewe kuna mtu ndiye utakayecheza naye,halafu pale niliwadondokea baada ya kuona mnasema sana naniliyu.Washawasha...niemghairi! hiyo midevu..........!?!?! akuuuu!!!
afu juzi nimekaa chini ya mwenbe dudu washa likanidondokea - linawashaje sasa! mpaka nimetokea rushes hapo!!!