Jf filamu casting.

Jf filamu casting.

Kwa mara ya kwanza kabisa nchini Tanzania Jamii Forums Home Intertainment itakuletea filamu kabambe kabisa inayohusu,siasa,uesharati,umbea,uchawi,biashara haramu,usafishaji wa fedha,vichekesho kwa chati bila kusahau yale yanayofanya dunia izunguke nina maanisha Mapenzi.Kama hujui kuigiza tutakufunza.

Casting:itaanza tarehe 20/11/2013 na kuishia tarehe 23/11/2013.
Muda:kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
Eneo:Bahari Beach Hotel.
Majaji: FaizaFoxy Mr Rocky Mamndenyi farkhina na Excellent.
Washiriki wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18-99
Tumia fursa hii kwa kunitumia Cv yako pamoja na picha mbili moja ya passport saizi nyengine ya mwili mzima kwenye inbox yangu.

Nafasi za kazi ziko wazi:
1.Producer
2.Director
3.Graphic dizaina

Jina la filamu:Nitaishije Bila ya Wewe?
Mtunzi : Washawasha
Camera man: Jerrymsigwa
Camera woman
: ladyfurahia
Editor: mwekundu
Make up
: Kongosho,msaaidizi: kabanga
Costume designer
: double R
Mpishi
: The secretary

Anayependa picha yake itumike kwenye cover la filamu hii basi atutumie.

Wafuatao wanatakiwa watume CV zao ili wapate nafasi za upendeleo: figganigga BAK ndetichia Baba V Katavi The Boss Bujibuji Asprin Kigogo klorokwini Kaizer KakaKiiza Adharusi muuza ubuyu watu8 King'asti Preta Paloma Lady doctor Madame B madame X double R BADILI TABIA AshaDii mimi49 DEMBA Nyamayao miss wa kinyaru KOKUTONA Jawilat Chocs ladyfurahia Valenti8 Avatar Avemaria Zinduna Mwali,
Nalog off
najua mtu wa taa na yule wa nyuma ya camera ndio huwa wanafaidi movie
 
chama ndo kusema
ni wake wenza, mie huwaga nina wivu ujue lakini!!!!
Mamndenyi
Tuliza roho yako kipenzi changu ujumbe wa Bujibuji haishi kujinadi eti bado unamapenda; jua lilivyompiga binadamu yule sijui atapendwa na nani leo kavumbua uchimvi mpya eti anacheza sinema na FaizaFoxy ana uturi wa kujifukiza kumkalia karibu FaizaFoxy? asije akatapisha watu kwa jasho la kwapa!
 
Last edited by a moderator:
hii movie sijui kamA wataiweza hawa washiriki. embu tazameni video hii ndiyo mjue mnachokwenda kukifanya huko location.
 
Last edited by a moderator:
lipo wewe hujaonaga :shocked: :shocked: ngoja nikuoneshe uone hh.jpg
maana wewe unaishi nyanitumbo ambako hata gari kuona ni kazi kwelikweli pole
hilo halipo tumezoea camera man tu.
 
Mimi niwe kubwa la majambaz basi kama inahitajika hyo nafasi, si unaona navyowaka moto kwenye avatar yangu, hapo nawahi mtoni kujizima then narudi kulipiza....full movie
 
hii movie sijui kamA wataiweza hawa washiriki. embu tazameni video hii ndiyo mjue mnachokwenda kukifanya huko location.

Vitatengenezwa visheti kama larva,au zinapikwa tambi tunakunja zifanane na larva....full movie
 
Last edited by a moderator:
sio kwa mbali ni kwa karibu mnooo,maana mchezo huu hajauanza yeye hata Nabii Musa (AS) alipoulizwa utamchagua nani awe msaidizi wako? hakuumauma maneno alijibu moja kwa moja naomba NDUGU yangu Haruuni (AS) ndio awe msaidizi,kwahiyo lazima upendelewe tu na mumeo Excellent.
Nalog off
Washawasha mbona mnanichanganya hivi huyu Exllent ninaemfahamu mimi kumbe ana mke?! kama ndo hivyo bora umtoe upande wa majaji hastahili, maana hatakawia kuomba rushwa ya ngo..o, huyu dogo hajatulia aisee.
Afadhali umebadilisha avatar ile ya mwanzo ilikuwa inanitisha
 
Vitatengenezwa visheti kama larva,au zinapikwa tambi tunakunja zifanane na larva....full movie
mie nadhani hii video nimeweka ndio ingekuwa kipimo kwa actress na actors. kwanza wakiweza kumtafuna huyo kiwavi ndo apate nafasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom