Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Kwa mara ya kwanza kabisa nchini Tanzania Jamii Forums Home Intertainment itakuletea filamu kabambe kabisa inayohusu,siasa,uesharati,umbea,uchawi,biashara haramu,usafishaji wa fedha,vichekesho kwa chati bila kusahau yale yanayofanya dunia izunguke nina maanisha Mapenzi.Kama hujui kuigiza tutakufunza.
Casting:itaanza tarehe 20/11/2013 na kuishia tarehe 23/11/2013.
Muda:kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
Eneo:Bahari Beach Hotel.
Majaji: FaizaFoxy Mr Rocky Mamndenyi farkhina na Excellent.
Washiriki wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18-99
Tumia fursa hii kwa kunitumia Cv yako pamoja na picha mbili moja ya passport saizi nyengine ya mwili mzima kwenye inbox yangu.
Nafasi za kazi ziko wazi:
1.Producer
2.Director
3.Graphic dizaina
Jina la filamu:Nitaishije Bila ya Wewe?
Mtunzi : Washawasha
Camera man: Jerrymsigwa
Camera woman: ladyfurahia
Mpiga Picha Mkuu: Mzee wa Rula
Editor: mwekundu
Make up: Kongosho,msaaidizi: kabanga
Costume designer: double R
Mpishi: The secretary
Lighting: Slave
Anayependa picha yake itumike kwenye cover la filamu hii basi atutumie.
Wafuatao wanatakiwa watume CV zao ili wapate nafasi za upendeleo: figganigga BAK ndetichia Baba V Katavi The Boss Bujibuji Asprin Kigogo klorokwini Kaizer KakaKiiza Adharusi muuza ubuyu watu8 King'asti Preta Paloma Lady doctor Madame B madame X double R BADILI TABIA AshaDii mimi49 DEMBA Nyamayao miss wa kinyaru KOKUTONA Jawilat Chocs ladyfurahia Valenti8 Avatar Avemaria Zinduna Mwali Heaven on earth,
Nalog off

Last edited by a moderator: