Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
- #61
hahahaha wewe unaonekana ni dhulma ndio maana unaogopa kudhulumiwa,ila kwa kila scene utakayocheza utalipwa Tsh 500,000/=teh teh!!!
hebu tueleze mgawanyiko wa mshiko kwanza maana hilo ndio impotanti kuliko mengine...
Nalog off