JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Mtoto wa Mkulima kajikuta anatetea uovu na sasa amewekwa katika ‘kichinjio’’ ili awe mbuzi wa kafara.

Ukisoma unaona wazi kulikuwa na mawasiliano ya karibu kati ya wizara na Ikulu.

Ikulu ikasema malipo yafanywe. Kumbukeni kuwa hii ni baadaya kashfa ya Richmond ambayo akina IPTL walitajwa sana, hivyo Ikulu ilitakiwa ijiridhishe kama deal ni nzuri.

Pili, mradi mkubwa kama huo unajadiliwa ndani ya baraza la mawaziri, mwenyekiti wa baraza ndiyo mkuu wa Ikulu.

Tatu, malipo makubwa kama hayo hufanyika kwa Ikulu kuridhia,leo imeridhia ‘’walipwe kama alivyoshauri Werema’’

Nne,Rais aliwahi kuwa waziri wa Nishati. Masuala ya IPTLanayafahamu vema.

Pia aliwahi kuwa waziri wa fedha, masuala ya fedha anayafahamu vema ikiwemo utaratibu wa BOT.
Leo tukiambiwa ni akina Pinda, aaaa! Ikulu imehusika

Tusichokijua ni namna singa singa alivyoingia Ikulu,tunachojua ni kuwa kaingia Ikulu, kaishirikisha katika escrow.

Ikulu inahusika!Sasa tunajua Ikulu na Escrow ni pacha
,
Hata wakipelekwa India Apollo hawatenganishwi. Wameungana moyo. Ikulu na Escrow ni dugu moja. Tunajua Ikulu imo

sasa wewe ulitaka ikulu wakatae kulipa pesa za IPTL kwa sababu gani ikiwa walitoa huduma kwani umeme wa IPTL hatukutumia? na mahakama iliruhusu fedha zilipwe
 
bank ya kanisa ndio bank ya Lumumba?
Baada ya mpini kukuingia unajitoa ufahamu.

CCM mnaiponda hapa wakati ndiyo chama lenu lakupigia pesa angalia orodha yote wamejaa Wakirsto watupu pamoja na Benki yenu Mkombozi Benki.

Usilete ushabiki mandazi.
 
Kulingana na uandikaje wake amesema hizo ndio karatasi zilizotolewa, sasa lakujiuliza ni kitu kipo cha kutisha ktk hizo karatasi alizotuwekea hapo? Ama ni sample?

Hakuna cha kutisha na wala hilo halikuwa lengo la uzi huu kutishia mtu yoyote...

Lengo la uzi huu ni kutambulisha umma na watuhumiwa kuwa ripoti kamili ipo kama ilivyoandikwa na hata kurasa zinazodaiwa kutolewa kuna wadau wanazo...

Endapo tu ripoti itayowakilishwa kwenye mjadala ikiwa kinyume basi kurasa zilizotolewa zitawekwa hadharani na hadhara ya JF pia itawekewa...

Hivyo hadi wakati huo tuache bunge lifanye kazi yake...
 
Unaijuwa PAP? huko ndiko majina ya familia ya Mkulu yapo.

Tuliza bori wengine tumeshajitolea kufikiri kwa niaba ya wengine.

Mkuu sasa inakuaje PAP amesahaulika hivi au kuna juhudi binafsi maana vikao/makubaliano yote ya kuchota hizi pesa yanaonekana yamefanywa na PAP lakini hajaongelewa sana wakati ndie mtuhumiwa namba moja.
 
Sijui kwanini bado Kikwete ni Mkuu wa nchi,sijui kwanini Ofisi ya waziri Mkuu ipo,Sijui kwanini serikali bado ipo madarakani,sijui kwanini kitengo cha Usalama wa Taifa Kipo,Sijui nani ameloga Watanzania na Taifa kwa ujumla! Kwa hali ya mambo ilivyo sasa nadhani ni wakati sasa wa serikali kukasimisha madaraka kisheria kisha watendaji wote wawaombe radhi wananchi,kisha waburuzwe mahakamani na baada ya kesi zao kuisha wafilisiwe mali zao kasha tukiona inafaa tuwatenge kabisa ama watafutiwe pori waishi huko.
.
.
Ikulu yetu imeshushwa dhamani mno kiasi kwamba hata msanii Kingwendu anajiona anaweza kuwa rais wa Tanzania.
Nakumbuka maneno ya Lowasa kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu kuokoa wakubwa. Sasa jiulize kama yeye alikuwa PM ni nani aliyekuwa mkubwa wake ila makamu wa rais n rais mwenyewe?
hapa itakuonyesha bila shaka kuwa ikulu ilihusika a wizi wa Epa. Ukizingatia hata rais aliwahi kutoa kauli kwamba pesa Zile zilikuwa zinaelea tu bila mwenyewe wajanja wakaziwahi. Hii ni kauli ya chini sana iliyowAhi kutolewa na mkuu wa nchi.
Hiki la Escrow nayo ikulu inaonekana kuhusika moja kwa moja.
Cha kutushangaza kila bunge linapokuwa na mjadala mzito kuhusu utata katika nchi Jk anakuwa yupo nje ya nchi.
Sijui ni nani aliyemwambia kuwa kuyakimbia matatizo kunampa uhalali wa kutohusshwa.
Too low mr president!!.
.
 
Baada ya mpini kukuingia unajitoa ufahamu.

CCM mnaiponda hapa wakati ndiyo chama lenu lakupigia pesa angalia orodha yote wamejaa Wakirsto watupu pamoja na Benki yenu Mkombozi Benki.

Usilete ushabiki mandazi.

Kwa hiyo CCm ni chama cha Kikiristo? hata Kikwete pia. Mkuu Ritz mkiambiwa CCM ndio wanaosambaza udini mnapiga kelele. Sasa hao wanaokula rushwa sio wana CCM?
 
.
.
Ikulu yetu imeshushwa dhamani mno kiasi kwamba hata msanii Kingwendu anajiona anaweza kuwa rais wa Tanzania.
Nakumbuka maneno ya Lowasa kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu kuokoa wakubwa. Sasa jiulize kama yeye alikuwa PM ni nani aliyekuwa mkubwa wake ila makamu wa rais n rais mwenyewe?
hapa itakuonyesha bila shaka kuwa ikulu ilihusika a wizi wa Epa. Ukizingatia hata raia aliwahi kutoa kauli kwamba pesa Zile zilikuwa zinaelea tu bila mwenyewe wajanja wakaziwahi. Hii ni kauli ya chini sana iliyowAhi kutolewa na mkuu wa nchi.
Hiki la Escrow nayo ikulu inaonekana kuhusika moja kwa moja.
Cha kutushangaza kila bunge linapokuwa na mjadala mzito kuhusu utata katika nchi Jk anakuwa yupo nje ya nchi.
Sijui ni nani aliyemwambia kuwa kuyakimbia matatizo kunampa uhalali wa kutohusshwa.
Too low mr president!!.
.

Kikwete ana kauli za kuudhi na dharau, kwenye mambo muhimu yeye atakuja na kauliz a kejeli na za kuudhi.
 
Wewe tulizana hii pesa wamekula wengi hao wanasiasa unaowaamini ukisikia wamevuta pesa sijui utaanguka kwa presha.

Presha anayo aliyeenda kufanyiwa upasuaji wa busha, naona unatetea buku 10 za Lumumba vikao haviishi
 
.
.
Ikulu yetu imeshushwa dhamani mno kiasi kwamba hata msanii Kingwendu anajiona anaweza kuwa rais wa Tanzania.
Nakumbuka maneno ya Lowasa kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu kuokoa wakubwa. Sasa jiulize kama yeye alikuwa PM ni nani aliyekuwa mkubwa wake ila makamu wa rais n rais mwenyewe?
hapa itakuonyesha bila shaka kuwa ikulu ilihusika a wizi wa Epa. Ukizingatia hata rais aliwahi kutoa kauli kwamba pesa Zile zilikuwa zinaelea tu bila mwenyewe wajanja wakaziwahi. Hii ni kauli ya chini sana iliyowAhi kutolewa na mkuu wa nchi.
Hiki la Escrow nayo ikulu inaonekana kuhusika moja kwa moja.
Cha kutushangaza kila bunge linapokuwa na mjadala mzito kuhusu utata katika nchi Jk anakuwa yupo nje ya nchi.
Sijui ni nani aliyemwambia kuwa kuyakimbia matatizo kunampa uhalali wa kutohusshwa.
Too low mr president!!.
.

Ni dharau na dhihaka iliyopitiliza kwa mwizi wa aina ya Chenge ambaye kila uozo wenye jina la Ughaibuni anahusika na kisha leo tena anakuwa wakala wa Chama na Serikali yake kudraft katiba or whatever na mbaya zaidi katiba yenyewe ikipuuza mawazo ya wananchi kwa kiwango kisichovumilika...Gharika ipo na inakuja kwa maana maovu hayawezi kusimama milele!
 
sasa hivi ni Pandora box, unachotaka ni kufungua ...worms''.

Naona utetezi kwa mbaaali!!!

Ikulu imo!

Kinachotakiwa kwa sasa ni kufungua hilo pandora box ili hili suala lijadiliwe kwa uwazi katika msingi ambao wale wanaolijadili wanakuwa wako well informed.

Unaposema Ikulu ipo una maana gani?.

Kama maana yako ni Rais wa nchi basi hata maamuzi yanayofanywa na Mkuu wa wilaya niya Ikulu, kwa maana kuwa, wakuu wa wilaya wanafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi.

Kuvulunda kwa Mkuu wa Wilaya katika utendaji kazi wake huambatana na kuwajibishwa huyo Mkuu wa Wilaya na siyo Rais wa nchi pamoja na kwamba Mkuu wa Wilaya alikuwa anafanya kazi zake kwa niaba ya Rais!.

Suala la msingi hapa, Rais yupo moja kwa moja katika context ipi kulingana na documents zenye viambatanisho ambavyo vilivyowekwa hapo juu?.

Kama kuna documents zingine, hilo ni suala lingine lakini kwa sasa tunajaribu kujenga hoja kulingana na documents ambazo ziko hapa mezani.
 
Kwa hiyo CCm ni chama cha Kikiristo? hata Kikwete pia. Mkuu Ritz mkiambiwa CCM ndio wanaosambaza udini mnapiga kelele. Sasa hao wanaokula rushwa sio wana CCM?
Umeishajiuliza kwa nini orodha ya waliokula hizi pesa za Escrow ni Wakirsto? Na umeishajiuliza kwa nini Mkombozi Benki inayomilikiwa na Kanisa ndiyo pesa zilikuwa zinapitia huko.

Udini wanasambaza waliochota hizo pesa wote wana kwaya hakuna hata jina la Muislam, tukisema eti mnaituita wadini potelea mbali.

Serikalini mmejazana wenyewe tu mnafanya ufisadi.
 
Thumb up!

Hii inonyesha wazi sura ya nchi, sura ya uongozi wa nchi na aina ya watu. Hii ni ESCROW tu, yapo mengi ambayo yametokea kipindi cha rais huyu.

Reflection ni jinsi majengo yalivyoota, vituo vya mafuta, makampuni mapya ya usafirishaji mizigo, Na kila aina ya upuuzi ambao umeibuka. Baadhi ya watu wamekuwa hawaguswi kabisa na vyomba vya sheria.

Hadi hapa tulipo, hakuna tofauti na somalia kama Zitto alivyoiweka.
 
Presha anayo aliyeenda kufanyiwa upasuaji wa busha, naona unatetea buku 10 za Lumumba vikao haviishi
Wapi nimetetea naona povu linakutoka, busha ni ugonjwa wa binadamu hata wewe unaweza kupata ugonjwa mbaya kuzidi busha usijione kutembea mzima Mungu kukupa afya ukajiona mjanja kutoa kashfa kwa magonjwa, kuna uzi wangu upo kasome ujue msimamo wangu.
 
Kikwete yupo Ikulu kwa ajili ya kuiba tu aibu yake lazima tumtoe busha. Hospitali hazina dawa juzi nilikuwa nauguza kila nikienda kumtembelea mgonjwa nakuta daktari kaniandikia dawa za kununua. Ccm must go. Watanzania tuamke this is too much. Tunakoeoekea hasa ccm watakuwa wanakuja makwetu usiku wanakushusha chini afu yeye analala na mkeo. Chama cha kishenzi sana hiki.
 
Back
Top Bottom