JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Tena alikuwa na ushauri 'mzuri sana' wakati wa mgomo wa wafanyakazi kuwa, nanukuu: "Akili za kuambiwa changanya na za kwako". Leo vipi raisi atajitetea kwa kuafuata ya kuambiwa? Lazima alichanganya na za kwake akaona ya kuambiwa ni sahihi. Au ushauri ule ulikuwa kwa ajili ya wafanyakazi tu yeye haumhusu?
Kweli ukishangaa ya Firauni ...
Jamani Mkuu wa nchi, Rais ameshiriki. Ameshiriki kikamilifu kutumia rungu lake kuidhinisha uovu. Mkuu wa nchi ni mshiriki muhimu sana wa kashfa hii.
 
Ngoja kwanza usiende mbali, kabla ya kudanganywa au kama unataka kudanganya weka filter kwenye ubongo wako halafu digest hili......

Wakati wa Mkapa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa alikuwa Apson Mwang'onda ambaye sasa ndio Mwenyekiti wa kamati ya kuhakikisha Fisadi Lowasa anarudi kwenye uraji ili waifirisi nchi.

Connect dots kama mtu huyu alikuwa na utukufu huo kama mpaka leo hana huruma na Watanzania anakesha kuhakikisha jambazi lingine kutoka Ccm linakuja kufirisi nchi.

Niunganishe na dot nyingine hapo kwako mkuu,ni kweli Tiss iliyochunguza iptl mwaka ule 2000 ilikuwa ya Cornel Apson,huyu akaja akaondoka pale,ila upande wa pccb(then Takukuru),aliyeongoza timu ya uchunguzi wa iptl na kugundua madudu mazito ya kutisha kwenye mikataba yake na kuishauri ikulu iende mahakamani ili kuvunja mikataba alikuwa ni afisa mmoja anaitwa Edward Hoseah(msomi mzito wa sheria na masuala ya corruption,so i think ushauri wake kwa govt kwenda mahakamani wakati huo haukuwa wa kubahatisha)ambaye alikuwa head wa department hiyo toka 1995-2006,kipindi ambacho zigo hili lilikuwa in the making na migogoro ya mwanzoni kabisa,if you remember from 1998
Baada ya muda ikawa kimyaa,ikawa jioni,ikawa asubuhi Edo boy akapewa ukurugenzi wa takukuru...i'm just curious!kuna kitu kizito mno kwenye hii iptl,mnoo!
 
Very interesting view, last time i checked democracy was rule of the people by the people. Nathan salsa utakubali kuwa serial hii bali na ku under perform kwa mbali sana ikilinganishwa na iliyopita knew masala ya maendeleo, imei over perform kea mbali sang iliyopita kea wifi na ufisadi.

nadhani hapa utaanza kumlaumu nyerere tena kwa ufisadi huu.
Hii ni kashfa ya pili, ofisi kuu nchini, Ikulu inahusika. Richmond ofisi hiyo ilihusika na Escrow sasa ni wazi kuwa Ikulu imehusika.

H. Sngh ameingia Ikulu.

IKULU IMEHUSIKA
 
Ninalojua ni kuwa ule utetezi wa awali kuwa Ikulu haikuwa na habari haukuwa na ukweli wowote. Ikulu are in it toka utosini hadi miguuni...they are actually swimming in it! Ningeshangaa kweli kweli kama bilioni 400 zingeweza kuchotwa hivi hivi bila mkono wa Ikulu, that would have been the nineth wonder of the world! Na maadam Ikullu inaguswa kuna watu watavunja rekodi ya kupost JF! Mimi nawapa tu ushauri moja, subirini! Niliponong'onezwa kuwa hata vyombo vya usalama vimewekwa kwenye hali ya tahadhari nikakumbuka woga wa mtoto wa mkulima kabla hajajua kwa nini yuko pale, mafisadi wakichukuliwa hatua, nchi itayumba!
 
Mtoto wa Mkulima kajikuta anatetea uovu na sasa amewekwa katika ‘kichinjio'' ili awe mbuzi wa kafara.

Ukisoma unaona wazi kulikuwa na mawasiliano ya karibu kati ya wizara na Ikulu.

Ikulu ikasema malipo yafanywe. Kumbukeni kuwa hii ni baadaya kashfa ya Richmond ambayo akina IPTL walitajwa sana, hivyo Ikulu ilitakiwa ijiridhishe kama deal ni nzuri.

Pili, mradi mkubwa kama huo unajadiliwa ndani ya baraza la mawaziri, mwenyekiti wa baraza ndiyo mkuu wa Ikulu.

Tatu, malipo makubwa kama hayo hufanyika kwa Ikulu kuridhia,leo imeridhia ''walipwe kama alivyoshauri Werema''

Nne,Rais aliwahi kuwa waziri wa Nishati. Masuala ya IPTLanayafahamu vema.

Pia aliwahi kuwa waziri wa fedha, masuala ya fedha anayafahamu vema ikiwemo utaratibu wa BOT.
Leo tukiambiwa ni akina Pinda, aaaa! Ikulu imehusika

Tusichokijua ni namna singa singa alivyoingia Ikulu,tunachojua ni kuwa kaingia Ikulu, kaishirikisha katika escrow.

Ikulu inahusika!Sasa tunajua Ikulu na Escrow ni pacha
,
Hata wakipelekwa India Apollo hawatenganishwi. Wameungana moyo. Ikulu na Escrow ni dugu moja. Tunajua Ikulu imo
 
Ninalojua ni kuwa ule utetezi wa awali kuwa Ikulu haikuwa na habari haukuwa na ukweli wowote. Ikulu are in it toka utosini hadi miguuni...they are actually swimming in it! Ningeshangaa kweli kweli kama bilioni 400 zingeweza kuchotwa hivi hivi bila mkono wa Ikulu, that would have been the nineth wonder of the world! Na maadam Ikullu inaguswa kuna watu watavunja rekodi ya kupost JF! Mimi nawapa tu ushauri moja, subirini! Niliponong'onezwa kuwa hata vyombo vya usalama vimewekwa kwenye hali ya tahadhari nikakumbuka woga wa mtoto wa mkulima kabla hajajua kwa nini yuko pale, mafisadi wakichukuliwa hatua, nchi itayumba!

Hivi Jeshi letu wasingekuwa wanatanuwa na Manissan Patrol, Matoyota V8 chakula bure, bia za resheni bure, manunuzi ya bidhaa kwenye Military shop duty free wangevumilia upuuzi huu wa Luteni Kanali?
 
Hapa vyombo vya usalama ndio salama ya mkuu wa nchi kwa nafasi yake kama amri jeshi mkuu.......shortly mkuu wa nchi hapa hachomoki.....hata akichomoka lakini image itayobaki juu yake ni aibu ya kihistoria ......
 
Hii ni kashfa ya pili, ofisi kuu nchini, Ikulu inahusika. Richmond ofisi hiyo ilihusika na Escrow sasa ni wazi kuwa Ikulu imehusika.

H. Sngh ameingia Ikulu.

IKULU IMEHUSIKA

Tatizo ni kuwa tunasema Ikulu inahusika, lakini tunasahau kuwa ikulu ni jina la jumla, kuna individuals ikulu ni vizuri wakitajwa moja kwa moja.

NI vizuri mamba akiitwa mamba tukimwita reptile watu wanaweza fikiri mjusi.
 
Luteni Kanali.
 
Tunahitaji ripoti ya PCCB pia maana kuna mlolongo mkubwasana wa waliopokea. Huenda kuna mgao kwa akina ''Riz' na Mlaj, tunatakiwa tujuewangapi wamehusika hata kama wamepokea laki 500. Mtirirko huo utasaidia kujuanamna pesa chafu ilivyochafua nchi.
Ikulu imo, sasa ukichanganya na kashfa ya kugawa rushwa kwawasomi na waandishi ili katiba ipite, Ikulu imo! Hili halina mjadala tena.Ushiriki wa Ikulu na Escrow hauwezi kutengwa hata kidogo. Ikulu imetoa amri , nani angepinga. Ikulu imo
 
Hapa vyombo vya usalama ndio salama ya mkuu wa nchi kwa nafasi yake kama amri jeshi mkuu.......shortly mkuu wa nchi hapa hachomoki.....hata akichomoka lakini image itayobaki juu yake ni aibu ya kihistoria ......
Tunahitaji ripoti ya PCCB pia maana kuna mlolongo mkubwasana wa waliopokea. Huenda kuna mgao kwa akina ''Riz' na Mlaj, tunatakiwa tujuewangapi wamehusika hata kama wamepokea laki 500. Mtirirko huo utasaidia kujuanamna pesa chafu ilivyochafua nchi.
Ikulu imo, sasa ukichanganya na kashfa ya kugawa rushwa kwawasomi na waandishi ili katiba ipite, Ikulu imo! Hili halina mjadala tena.Ushiriki wa Ikulu na Escrow hauwezi kutengwa hata kidogo.Ikulu imetoa amri , nani angepinga. Ikulu imo
 
Signet holds an 80 per cent interest in Hydrotanz Ltd ("Hydrotanz"), a company incorporated in Tanzania. Hydrotanz entered into a production sharing agreement with the United Republic of Tanzania and the Tanzania Petroleum Development Corporation pertaining to the North Mnazi Bay on 29 May 2008. North Mnazi Bay is located offshore and covers an area of 252.27 square kilometres.
Hii ni kutoka kwa Kibanga Ampiga Mkoloni
Pesa zetu za Tegeta Escrow mafisadi wameziwekeza kwenye hiyo kampuni, i wounder yule waziri wa nishati aliposema hakuna mtanzania mwenye pesa ya kuwekeza kwenye gesi. Hapa ukiiangalia kiundani hii kampuni utakuta huyo waziri inawezekana ana hisa kwenye hivyo vitalu, na ni yeye anayeng'ang'ania kuwa mikataba ya gesi ni siri haiwezi kuletwa au kukaguliwa. Hiyo mikataba siku itakapokuja kuletwa hadharani naona ndipo tutakapoona mambo mengi yaliofichwa
 
Sitoshangaa kusikia CCM wanamiliki vitalu vya gesi au Mafuta kwa uchafuu huu wa rushwa ulivyokithiri huko Ikulu, kupitia mgongo wa mafisadi. Huwezi kuwataja mafisadi bila ya kuitaja ccm
 
Mkuu nakushauri achana naye huyo Ajuza anasumbuliwa na stress na Menopause pia tunapaswa kuwavumilia wajane maana amechanganyikiwa huyo.

Ifanyie udukuzi ID yake 24 hrs iko active na inapost pumba tupu.

Angalia first page ya thread hii imeanza saa ngapi na sasa ni saa ngapi kila page ukifungua yeye utamkuta anajambajamba tu hata robot huwa linapumzika huyu mwenzetu sijui anatumia injini ya trekta?

Na wewe upo tu? Saa zote unafatilia post zangu?
 
Asante sana Invisible, hao mafisadi-wezi wa pesa na nyaraka umewapiga za uso.

Kuna mwanafalsafa mmoja alisema, unaweza kuwadanganya baadhi ya watu wakati fulafulani, lkn huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote.

Namshukuru Mungu kuwa huo usemi lazima itafikia mahali utathibitika tu.

Wenye hekima walihitimisha na msemo mashuhuri-siku ya kufa nyani, miti yote huteleza. Na iwe hivyo kwa hawa Mafisadi.

Vv
 
Back
Top Bottom