nokutogwile
Member
- Nov 23, 2014
- 20
- 7
Watanzania maneno mengi vitendo zero hata litapita kama kashfa zingine zilivyozikwa kimya kimya kama hadi Raisi anahusika unafikiri nani mwingine wa kusimama kidete kama wananchi wenyewe maneno matupu
Wapi nimetetea naona povu linakutoka, busha ni ugonjwa wa binadamu hata wewe unaweza kupata ugonjwa mbaya kuzidi busha usijione kutembea mzima Mungu kukupa afya ukajiona mjanja kutoa kashfa kwa magonjwa, kuna uzi wangu upo kasome ujue msimamo wangu.
Mkombozi Commercial Bank Loading.........
Nimeelewa sana tena sana, nisome vizuri; ikiwa hizo ndio "zilizonyofolewa" na hazina chochote cha maana itakuwa hizo zilizosambazwa?
Fikiri.
Umeishajiuliza kwa nini orodha ya waliokula hizi pesa za Escrow ni Wakirsto? Na umeishajiuliza kwa nini Mkombozi Benki inayomilikiwa na Kanisa ndiyo pesa zilikuwa zinapitia huko.
Udini wanasambaza waliochota hizo pesa wote wana kwaya hakuna hata jina la Muislam, tukisema eti mnaituita wadini potelea mbali.
Serikalini mmejazana wenyewe tu mnafanya ufisadi.
Hivi rais anasemaje ju ya hi issue?
Hivi rais anasemaje ju ya hi issue?
Kurasa zilizonyofolewa ni tatu za mwisho.kama sikosei 57,58,59.
means kurasa zingine ndo zilisambaa mtaani.
hizi kurasa zilizowekwa hapa sio zile tatu zilizonyofolewa kwani sio hizo 57,58,59.
means kwamba zilizowekwa hapa ni zile kati ya zilizosambaa mtaani.
Hawa jamaa watu ajabu sana ukiitaja Mkombozi Benki wanasema udini.Msimamo wetu hayo mafisi yarudishe PESA walizokwiba ....
kuna picha nimemuona huyo Rugemarila kavaa na rozali kabisa huku kampuni yake ikiwanyonya watanzania.....
ESCROW usipite bila kuondoka na wanyang'anyi...
Kijiwe cha kugawana mtonyo wa KIFISADI
Hawa jamaa watu ajabu sana ukiitaja Mkombozi Benki wanasema udini.
Kwa sasa 'anaumwa'...
Si unajua mgonjwa huwa hatakiwi kusumbuliwa mwili na akili...
Hawa jamaa watu ajabu sana ukiitaja Mkombozi Benki wanasema udini.
Kikwete yupo Ikulu kwa ajili ya kuiba tu aibu yake lazima tumtoe busha. Hospitali hazina dawa juzi nilikuwa nauguza kila nikienda kumtembelea mgonjwa nakuta daktari kaniandikia dawa za kununua. Ccm must go. Watanzania tuamke this is too much. Tunakoeoekea hasa ccm watakuwa wanakuja makwetu usiku wanakushusha chini afu yeye analala na mkeo. Chama cha kishenzi sana hiki.
mbona meseji za pole alikua anajibu,atupe pole na hili la escrow
Nazani RWEYEMAMU anaanda andiko lako la kumuepusha boss
Hata mie napata shida zinapigwa kelele nyingi sana lakini ukisoma document hizi sioni shida hata page 59 inayosemwa imeondolewa tumeiona wala haina majina ya watu nchi hii umbea umezidi.Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
If you want to shoot; shoot dont talk.
![]()
Ingekuwa vizuri kama ungeweka makarabasha tujisomee wenyewe bwana Mod.