JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

msamehe amekosa kitu inaitwa "LOGIC"

Logic mmekosa nyie, naona mnhaororoja na kubwabwaja mkiambiwa wekeni basi ushahidi mnaleta vitu vya kijinga kabisa.

Silioni jipya, mngoje tu, ripoti ya Zitto Kabwe, muanze kuhaha.

Kama hamjarudia kusema Zitto Kabwe ni CCM, tutaona hapa.
 
Ukweli mchungu Rais wetu na mifumo ya usalama wa nchi ni dhaifu. TISS ilibidi wajue hili mapema. Tutambiwa Rais alishauriwa vibaya, case closed.
 
Logic mmekosa nyie, naona mnhaororoja na kubwabwaja mkiambiwa wekeni basi ushahidi mnaleta vitu vya kijinga kabisa.

Silioni jipya, mngoje tu, ripoti ya Zitto Kabwe, muanze kuhaha.

Kama hamjarudia kusema Zitto Kabwe ni CCM, tutaona hapa.

wholly craaaaaaap
 
logic mmekosa nyie, naona mnhaororoja na kubwabwaja mkiambiwa wekeni basi ushahidi mnaleta vitu vya kijinga kabisa.

Silioni jipya, mngoje tu, ripoti ya zitto kabwe, muanze kuhaha.

Kama hamjarudia kusema zitto kabwe ni ccm, tutaona hapa.

narudia tena wewe umekosa kitu inaitwa syllogism (logic)
 
Umesoma post namba moja alichonukuliwa Rais au kazi kushabikia ujinga tu? Kama umesoma, hebu weka hiyo nukuu hapa halafu ujione ulivyo punguani.

Mwambie akili za kuambiwa changanya na zako awe anasoma nyaraka kabla kuiweka sahihi au kupokea hundi bila kuiangalia ipoje, kama una kumbukumbu profeda wa kichina alisaini karatasi kwa mbwembwe kuna ndani pana usanii hadi Dr Slaa aliposema jakaya ulichosaini hakipo sawa,Udhaifu wake wa kutosoma documa ndo unaomletea shida.
 
Logic mmekosa nyie, naona mnhaororoja na kubwabwaja mkiambiwa wekeni basi ushahidi mnaleta vitu vya kijinga kabisa.

Silioni jipya, mngoje tu, ripoti ya Zitto Kabwe, muanze kuhaha.

Kama hamjarudia kusema Zitto Kabwe ni CCM, tutaona hapa.

Wewe Punguani kajifunze kuandika kwanza "mnhaororoja" ndio lugha ya wapi pimbi wewe kama siyo kima?
 
Kwa lugha nyepesi ni kuwa hawa "nguruwe"(CCM) walizidiana ulafi na kuanza "kudhulumiana"..Sasa kuna kundi jingine la nguruwe baada ya kuona "wamedhulumiwa sana" wakaamua sasa watamwaga ugali..na nguruwe wengine nao wanadai watamwaga mboga…Siku ya kumwaga ugali na mboga ni jumatatu…kwa hiyo mkuu jumatatu tembea na TV yako…
Ndio kusema upinzani walipewa tu hizo datazi kutoka kwa nguruwe"wazalendo"..Wapinzani wakazimwagwa data uwanjani... na huyu mmwaga data mpaka sasa analindwa na hao nguruwe "wazalendo"
Ninavyojua mimi tushukuru huko "kudhulumiana" kwao ndo tumepata hizo data…
We mkuu hujaona swala la katiba lilikuwaje!!!upinzani, wamelia wee lakini hawajasikilizwa na swala la katiba ndio muhimu zaidi lakini magamba wakalidharau..lakini hili la mkwanja wamejitokeza…hawa magamba sio wakuwaamini mkuu..
Likiisha hili kuna jingine limeshaanza kufumuka..hili ni la ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara…hapo napo kuna hela ya kufa mtu, hii hela ya Singa wenyewe wanaiita hela ya ugoro…hapa ndio CCM itakuwa ni kitimtimu maana hawa watakaojeruhiwa jumatatu lazima wafe na wale wa gesi…
Kakobe atakumbukwa...

Mkuu samahani, yawezekana nilikua usingizini ndo naamka sasa, naomba kufahamu Kakobe alisema nini kuhusu hawa nguruwe?
 
Mwambie akili za kuambiwa changanya na zako awe anasoma nyaraka kabla kuiweka sahihi au kupokea hundi bila kuiangalia ipoje, kama una kumbukumbu profeda wa kichina alisaini karatasi kwa mbwembwe kuna ndani pana usanii hadi Dr Slaa aliposema jakaya ulichosaini hakipo sawa,Udhaifu wake wa kutosoma documa ndo unaomletea shida.

Weka hapa alichopendekeza, wacha kuhororoja na kubwabwaja, utachekwa. Unakuja na maneno yako badala ya kunukuu kilichoandikwa? mtadanganyana misukule kwa misukule tu.
 
tatizo lililopo humu ni wengi kutofahamu nia ya INVISIBLE! yeye ametoa angalizo kuwa kwa kuwa kuna tetesi za kuchanwa kwa baadhi ya page katika report ya ESCROW, hakuna kitachoharibika kwani yeye anayo zikiwemo na zinazosadikiwa zimechanwa, akazibandika baadhi ya page ili kuwaakikishia kuwa report anayo.....na yuko clear kwamba anaheshimu bunge ....na siyo kwamba hicho kinachofichwa kiko kwenye page hizo mnazoziona, ila itakapobidi basi itaichapishwa humu JF
 
Siku hizi na wewe unajuwa neno punguani na kuhororoja? na nna uhakika hata kubwabwaja unajuwa.

Thanks to FaizaFoxy.

Je hoja yake umeielewa ! Kwa kiongozi makini haiwezekani makosa yale yale kila wakati, yabidi afunje baraza la mawaziri iwapo patakuwa na kujiuzuru baadhi yao. Na bado kwa udhaifu ataendelea kuvunja baraza hilo tena kabla ya kumaliza muda wake wa kuwa madarakani. Suala la Tanesco limemshinda kwa kifupi.
 
Ukisikia kuhororoja na kubwabwaja ndio huko, hiyo ndio hoja yako ya escrow?

Punguani wahed.
Kwa nini unapenda kutafutia wanaJF ban? Hata hivyo...kwa namna moja ama nyingine masakata haya ya Escrow na Bomba la gesi...yatakuwa yamekukwangua mahala ....na hicho kidonda kilichotokana na mkwanguo huo....hakiponi...!!!
 
tatizo lililopo humu ni wengi kutofahamu nia ya INVISIBLE! yeye ametoa angalizo kuwa kwa kuwa kuna tetesi za kuchanwa kwa baadhi ya page katika report ya ESCROW, hakuna kitachoharibika kwani yeye anayo zikiwemo na zinazosadikiwa zimechanwa, akazibandika baadhi ya page ili kuwaakikishia kuwa report anayo.....na yuko clear kwamba anaheshimu bunge ....na siyo kwamba hicho kinachofichwa kiko kwenye page hizo mnazoziona, ila itakapobidi basi itaichapishwa humu JF

Unadhani hawajaelewa? Ni kwamba makuwadi wa mafisadi wapo wengi humu kuspin mijadala, ila walengwa wa bandiko la Invisible tumemuelewa vizuri.
 
CCM walijiamini nini "kutomdhibiti" CAG kabla hajatoa report? kwamba walidhani madudu yao yatafutika tu kwa imani au walijua ofisi ya CAG ni dhaifu kiasi cha kushindwa kugundua uchafu??

Inashangaza kusikia wanahaha kunyofoa baadhi ya pages sasa hivi wakati report imeshasambaa
 
Back
Top Bottom