JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Dah...jama wamekosea sana, hawajajua bado kuwa siku hizi akina 'The book of Eli' wapo kibao.

Waliweza kumzima Invisible kwenye ile issue ya 'The General and the trillions' nadhani alikubali kuzimika si kwa vitisho, bali kwa aliyoonyeshwa ambayo kiumbe yeyote angekua mdogo tu. Ila kwa hili sidhani.

Wewe nae Una hangaika kwa haraka zako tuuu! Soma lengo la huu Uzi!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kwamba atajitetea kuwa alishauriwa vibaya,

Speed ya haya malipo kwa Oct-Nov ilitosha kabisa kumshtua Rais kama hakuwa na dhamira ya dhati ya mgao.
Kujinasua hapa ni ngumu.

Kwa akili ya kawaida ilishangaza riz kuhamgaika na report wakati kipindi hicho hata ubunge hakuwa anaota, zaidi ya deal kama hizi ambazo Simba Trust ya Australia yenye wamilia wamili wake Tanzania ilikuwa ikijipigia.
 
Okey lets say mkuu wa nchi hawezi kuwajibika kutokana na nafasi yake kama mkuu wa nchi, basi ni dhahiri Pinda na Werema wafukuzwe kazi kwa kosa la kumshauri raisi vibaya hadi kupelekea taifa kusitishiwa trillion kadhaa za msaada kutoka kwa wahisani.
 
Ila ni mbaya sana kama unasubiri mpaka utekenywe ndiyo utoe maamuzi. Kimsingi Rais amekosa ama kupoteza hadhi ya kuitwa RAIS na anazidi kulidhalilisha taifa letu na taasisi ya 'URAIS' kwa ujumla.

Nyerere alikuwa anatenda kwa kuzingatia KATIBA YA NCHI ila huyu wa sasa ni tofauti kabisa na haijulikani anaongoza nchi kwa msingi upi.

Hivi ndivyo kufata katiba ya nchi?



Unajuwa hiyo picha historia yake?
 
Huku isuue ikiwa hot yeye kakimbia kutibiwa?

Kazi kwa Wabunge tuone nawao kama watachukua mgawo wamalizane Nchi hii siya wajinga ndiyo waliwao!.
Nadhani Prof.Ndulu atakuwa anaonewa kama dhoruba itamkuta kama hii taarifa ni jinsi walivyoshughulikia issue hii ya Escrow pale BOT ingawa mimi ningemtupia lawama kwa kushindwa kuomba kukutana na Mhe.Raisi Uso kwa Uso.

Kama kuna Member humu anaweza kuileta Picha Moja ya Jk na Gov.BOT ikionyesha kutokea mushkeli tuweze kuconet dot na taarifa hii.
 
Back
Top Bottom