JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Lakini alicheza politics pia. kwamba kama ilivyoshauiriwa na Attorneys General.

Sasa ile hadithi ya mbayuwayu anayotwambia kila siku, yeye hakuweza kuiweka katika vitendo???!!! le professeri bwana!
 
Rais ulitaka apinge maamuzi ya mahakama? unanchekesha!

Au ulitaka atoe ushauri gani zaidi na yeye kaombwa ushauri? ni kuwa "maagizo ya mahakama kuu yafatwe".

Kosa liko wapi hapo?

Acha kupotosha mambo. Hukumu ipi iliyoamuru fedha zitolewe katika Escrow? Kwenye hiyo hukumu hakuma sehemu yoyote inayoamuru kifanywe hicho unachosema.
 
Acha kupotosha mambo. Hukumu ipi iliyoamuru fedha zitolewe katika Escrow? Kwenye hiyo hukumu hakuma sehemu yoyote inayoamuru kifanywe hicho unachosema.

Soma vizuri post namba moja halafu nioneshe ni wapi Rais kasema zitolewe pesa?

Wacha kuwa punguani.
 
Hapo mwisho ndo palipobeba uzito wote wa report
mkuu invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.

Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. Mi silali naisubiri kwa kweli. Hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya payees.
 
Last edited by a moderator:
Rais ulitaka apinge maamuzi ya mahakama? unanchekesha!

Au ulitaka atoe ushauri gani zaidi na yeye kaombwa ushauri? ni kuwa "maagizo ya mahakama kuu yafatwe".

Kosa liko wapi hapo?

Acha kiherehere , maamuzi ya mahakama umeyasoma au kazi kushabikia upotoshaji?
 
Matatizo ya kuwa na degree za kichina ndo haya,huwezi kupembua mchele na chuya.sidhani kama hata anasomaga content za document yoyote anayoletewa na hiki ndiyo chanzo cha kuingizwa choo cha kike kila mara.
 
Acha kiherehere , maamuzi ya mahakama umeyasoma au kazi kushabikia upotoshaji?

Umesoma post namba moja alichonukuliwa Rais au kazi kushabikia ujinga tu? Kama umesoma, hebu weka hiyo nukuu hapa halafu ujione ulivyo punguani.
 
Wanachelewesha tu nyakati za hukumu yao bali ipo tu hata wafanye nini.
 
Mkuu invisible, endelea kutoa in piece meal ripoti hii maana wengi wetu wavivu kusoma voluminous report.hapa Somo linaeleweka saaanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom