Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
wafadhili wale mnaowaomba omba are watching every step
usidhani ni rahisi kwa J.K
rahisi kwa jk kufanya nini tena?.
ngoma iko bungeni incase ulikua hujui
wafadhili wale mnaowaomba omba are watching every step
usidhani ni rahisi kwa J.K
wafadhili wale mnaowaomba omba are watching every step
usidhani ni rahisi kwa J.K
kazi ya jeshi ni nini endapo wizi mkubwa unafanyika na hata wananchi kukosa huduma mihumu....?
kwanini JWTZ Wasitangaze kuchukua nchi au hadi vita itokee?
Unajifanya unajua kumbe wizi tu,Heee wewe unajua maana ya huo mkongo wa taifa au naww ndi GT wa JF? Unajua system ya mawasiliano ya internet? Zantel unajua wanamiliki nn?
If you want to shoot; shoot dont talk.
![]()
Ingekuwa vizuri kama ungeweka makarabasha tujisomee wenyewe bwana Mod.
mtamuua bure kijana wa watu,hana ripoti
Ukiona mambo kama haya yanatokea ujuwe yana baraka zote za Rais.
Tanzania unaijuwa lakini au unaisikia tu?
Umeshau Nyerere aliposema yeye ni dikteta na katiba ndiyo inayompa udikteta? unafikiri sasa hivi inatumika katiba ipi? si hiyo hiyo? Rais ana uwezo wa chochote Tanzania hii kwa katiba tuliyonayo, kaa ukijuwa hilo.

Humu Jf hakuna mwenye report hiyoooooo,
Hutaki unaacha.