Manake tulio mtaani tutamwaga ugali.
Naeleweka? Na asipoweka "Invisible" basi "Karumekenge" ataweka. Bahati hatuna zaidi ya siku nyingi kuona Bunge linasemaje.
Wee ni mpuuzi kweli. Wana exemption ya tax wangeenda kunegotiate?. Umevurugwa wewe.Wewe wacha porojo, unajuwa kuwa IPTL wana exemption ya tax? Katika report ulizonazo limo hilo?
Mimi hofu yangu ni juu ya sintofahamu au mtifuano utakao tokea bungeni...
Sitamani PM ajiuzulu maana itakuwa mzigo kwetu Bali hela iliyozidi irejeshwe....
Hata Mariamu alipokuwa na mimba ya Yesu alituhumiwa hivyo hivyo, si jipya hilo jaribu lingine.
What if wakisema kuwa report inayowasilishwa ni ile iliyopelekwa kwa Spika ambayo imenyofolewa hizo kurasa huku wakiwa wameshawabana wale wabunge wao waliopo kwenye Kamati na wale wa upinzani wameshashikishwa ndefu? I'm thinking loud...
Kijana mbona unakurupuka, na wewe umeingia mkenge kwa uzushi wa mitaani kuwa ripoti eti imenyofolewa kurasa?
Hizo zilizowekwa hapa ni nini?
Na sijaona chochote cha kuonesha wizi wowote kati ya hizi kurasa zilizowekwa hapa.
Nashindwa hata kuwafikiria mkoje, yaani ni zaidi ya misukule.
Unafikiri Kama wanaCCM na wazito wasingekuwa na ridhaa juu ya hili Kafulila angefika wapi??
Jiulize swali jepesi tu ... Unakumbuka majibu ya watawala juu ya sakata hili kwenye hatua za mwanzo kabisa lilipoibuliwa na Kafulila?
Je unadhani bila msukumo Wa hao CCM kwenye hili Kafulila angefurukuta? kuna mangapi yanaibuka na kuzimwa bila lolote kutokea?
Je hujiulizi jeuri na kujiamini kwa watawala juu ya majibu waliyotoa awali imepotelea wapi? ni kafulila tu ameweza kuzima jeuri hii? Kama ndiyo mbona mwanzo hakuweza??
Unaamini ni Kafulila pekee anaehangaisha watawala wasilale??
Kama ndivyo fikra zako zilivyo Una safari ndefu Sana kuutambua ulimwengu huu Wa tabu...
Mkuu rejea kauli ya Speaker ndugu Job, aliposema hatuwezi(CCM) kuunda umoja wa wahalifu, maana yake hawawezi kuwa pamoja na wale uliowaita wabunge wa kwenye kamati ambao umefikiri wanaweza kubanwa!! Au kwa lugha rahis watetezi wa ukwapuaji huu!!
Mi nafikiri hilo la kubwana sidhani kama linaweza kutokea kwa sababu CCM wenyewe kwa wenyewe washavurugana,, ndipo inakuja ile dhana ya ukimwaga mboga,,,,,
Sawa sawa kabisa. Unazungumziaje suala la kunyofolewa baadhi ya kurasa ktk ripoti hiyo ya Escrow?
Mmeamka sasa mnakurupuka tu.
Wenziyo wapo kwenye huu uzi muda mrefu.
Wenziyo wengi walikuwa wamekurupuka hivihivi kama ulivyokuja wewe, baada ya kuelewa kilicholetwa hapa na Invisible sasa hivi hawachangii tena. Najua hata wewe utapotea kwenye uzi huu muda si mrefu. Kwa sasa endelea kutupiatupia tu utujazie space. Chondechonde ku-quote walichoandika wenye akili maana ni kujaza nafasi pasi na sababu.
Mkuu hii naamini kabisa , kitu ambacho hakina mkono wa baadhi ya wanaccm huwa hakichomozi.Unafikiri Kama wanaCCM na wazito wasingekuwa na ridhaa juu ya hili Kafulila angefika wapi??
Jiulize swali jepesi tu ... Unakumbuka majibu ya watawala juu ya sakata hili kwenye hatua za mwanzo kabisa lilipoibuliwa na Kafulila?
Je unadhani bila msukumo Wa hao CCM kwenye hili Kafulila angefurukuta? kuna mangapi yanaibuka na kuzimwa bila lolote kutokea?
Je hujiulizi jeuri na kujiamini kwa watawala juu ya majibu waliyotoa awali imepotelea wapi? ni kafulila tu ameweza kuzima jeuri hii? Kama ndiyo mbona mwanzo hakuweza??
Unaamini ni Kafulila pekee anaehangaisha watawala wasilale??
Kama ndivyo fikra zako zilivyo Una safari ndefu Sana kuutambua ulimwengu huu Wa tabu...
Wewe mama bure kabisa, ni nani aliyekuloga, we na warioba au DR. Salim ni nano anaijua ccm, kwa nn haubadiliki, huyo aliyekuloga nadhani amefariki pole sana
mkuu kama vp tangaza biashara ili mfuko wa JF uneemeke kidogo, anaetaka mzigo atoe dolari, oooh!Mkuu,
Pumzika; lengo si kuvuruga mwenendo wa Bunge bali kuwafanya wanaojaribu kufanya upotoshaji wafahamu kuwa nyaraka nzima ya ripoti ipo tayari kwetu raia na waache michezo yao.
Wawajibishane, kila mtu aubebe mzigo wake. Wanaowajibika na wawajibike; usanii wowote katika hili utachafua hali ya hewa pasi na ulazima wa kufikia huko.
Nadhani tusiendelee, tuliachie Bunge lifanye kazi yake
Mkuu,
Suala la Escrow bado linachanganya sana! Je, fedha ni za Serikali au IPTL? Kama ni za Serikali ilikuwaje IPTL ikalipwa? Kama ni za IPTL kwa nini mawaziri, maaskofu, majaji, nk wagawiwe? Na kama hao watu waligawiwa kihalali, mbona wanahaha sana hata kunyofoa kurasa za Ripoti? It is so confusing kwa kweli!!
Mkuu suala hilo halichanganyi kabisa. Intaegemeaunaliangalia kwa jicho gani na upana upi.
1)Kuna fedha za umma za wazi zilizoibiwa(direct or indirect)
2. Kama si fedha za umma, kuna masilahi ya umma yametumikaau kutumiwa kwa jambo lisilo la umma(endapo tutakubaliana si suala la umma)
3)Kuna ukiukwaji mkubwa sana wa maadili. Iweje suala lisilola umma(kama tunakubalina) liwahusishe vingozi wa ngazi za juu, moja kwa mojaau kwa kupitia?
4)Kama umma hauna masilahi, kwanini kuna kujuhudi za kufichasuala hili kwa kutumia ofisi kama za waziri mkuu, mwanasheria mkuu,Ikulu(kupitia katibu kiongozi n.k.)
Kubwa Zaidi jiulize, kama umma hauna masilahi, kwaninitaarifa isiwekwe wazi ili serikali ijisafishe? Kwanini kuna dana dana nyingizisizo na kichwa wala miguu, tena zingine zikihusisha taasisi nyeti kama mahakama?
Sio suala la pesa tu, hili ni corruption. Hebu angaliacorruption ni kitu gani halafu uje utuambie wapi kuna confusion katika sualahili?.
mkuu Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.
Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.
Na wewe unakuwa mtu wa kuingizwa mkenge kirahisi.utajuaje ripoti imechomolewa kabla ya kusomwa?je ikisomwa yote si utajishushia hadhi?ungeacha wanyofoe halafu umwage ndio ungeonekana shujaaFuatilia 1st post tu mkuu wangu. It will be updated taratibu