JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?

Kobello bado huoni kitu? Inahitaji kuisoma report yote tena kwa mtiririko ndipo utajua full scenario. Na hapo ndipo utajua kwanini kurasa hizo zimenyofolewa.
 
Last edited by a moderator:
Invisible mkuu unasubiria michezo iendelee ndiyo utupie humu au utaiupload taratibu kuanzia usiku huu?
Watch this space

Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
Mkuu wangu,

Pages nnazoweka zina ambacho hawataki kisikike na hivyo wanataka kufanya manipulation wanavyodhani ndo sahihi!
 
Naendelea kukufuatilia ndugu invisible naomba report yote iwekwe hapa tuijadili.kuepuka ulaghai WA maccm
 
Im crossing my fingers...tutalala uzeeni
 
invisible kanikurupusha , silali tena hapa.
Mkuu,

Pumzika; lengo si kuvuruga mwenendo wa Bunge bali kuwafanya wanaojaribu kufanya upotoshaji wafahamu kuwa nyaraka nzima ya ripoti ipo tayari kwetu raia na waache michezo yao.

Wawajibishane, kila mtu aubebe mzigo wake. Wanaowajibika na wawajibike; usanii wowote katika hili utachafua hali ya hewa pasi na ulazima wa kufikia huko.

Nadhani tusiendelee, tuliachie Bunge lifanye kazi yake
 
mkuu Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.

Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Pumzika; lengo si kuvuruga mwenendo wa Bunge bali kuwafanya wanaojaribu kufanya upotoshaji wafahamu kuwa nyaraka nzima ya ripoti ipo tayari kwetu raia na waache michezo yao.

Wawajibishane, kila mtu aubebe mzigo wake. Wanaowajibika na wawajibike; usanii wowote katika hili utachafua hali ya hewa pasi na ulazima wa kufikia huko.

Nadhani tusiendelee, tuliachie Bunge lifanye kazi yake

angalia wasije kuzinyofoa na zakwako!kama vp tuweke zote hapa ili na sisi tuwe nazo
 
Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.

Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.
Mkuu,

Naomba uelewe kitu kimoja; tukifanya mambo ili 'tusisimuke' au 'tuwasisimue' watu basi hatutafanikiwa katika kufanikisha hili.

Umakini ni muhimu; briefly ni kuwa 'wao' wameshaona kuwa tunayo ripoti yenyewe; hivyo hawana sababu ya kutulazimisha tumwage mboga zaidi. Waifanye kazi yao! Nawe kama mwananchi, fanya kujua kuwa vyovyote iwavyo hata ikichakachuliwa bado hii kitu itaenda hewani.

Cha kufurahisha ni kuwa hii ripoti wanayo watu takribani 36 hivi (nzima)
 
Back
Top Bottom