Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,107
- 28,559
Busara tupu.Yes,
Ndo maana inabidi tuhimizane UZALENDO na kusisitiza zaidi watu kusahau tofauti zao za dini, vyama n,k na tukawa wamoja kuwakataa wanaolizamisha Taifa letu.
Wabunge watusaidie kusimama kuhesabiwa; waweke Taifa mbele lakini asionewe mtu wala asilindwe mtu!