JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

Muda si ndio sasa.......hakuna hata aliyeanza kulewa.......?
 
Ndo napeleka vinywaji kwa member watatu. Ntakua naibia ibia update mambo yameanza kua hot hot
 
werawera wakuu asemaye kesho mwongo
mserebuko mwema Madame B angali kiatu kisikutengue
 
Last edited by a moderator:
Muda si ndio sasa.......hakuna hata aliyeanza kulewa.......?
Nimeshahudumia kama member wa tatu, ukianza kulewa saa hii huta enjoy maana vinywaji hapa tumewandalia vya kutosha
 
Dah unbelievable!! nimelikosa hili tukio la leo. Kweli kama wanavyosema wazaramo kama haipo haipo tu!!
 
thando anawatamania sn ila anaumwa jamani, plz jf members take a very gud care of my hubby thanda, i love him jamani he is my all. miss u all. enjoy urselves
 
How are you Thando.. pole na homa.we missed you a lot that day.Stay well stay blessed

Hello Binti Sayuni, I am fine, I heard of you from my hubby. Homa imenipelekesha kiasi chake, yaani hata siku hiyo ya party nilikuwa naendesha tu kwa kuwa ni mume wangu, la sivyo nisingetoka kabisa. Kwa sasa namshukuru Mungu kwa uponyaji wake. Vipi wewe unaendeleaje?
 
Back
Top Bottom