JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

Wakati tunafanya fanya usafi kuandaa ukumbi kuna mgeni kapita kavaa white nusu nimwambie mbona umewai hivyo ! Ikabidi nikae kimya nisijefukuzwa bure
 
Kijani, njano na nyeusi, kofia ya njano yenye jembe na nyundo lol #whitepartdresscode

hahahahaha
Ooooh!...hiyo imetulia ile mbaya!
Naombeni mi mchango wangu uwe ni kuwagawia kila mtu hayo mavazi. Ninayo ya kutosha hapa!!
Kaizer naimagine ukiwa ndani ya green n yellow utavyotoka...lol
 
Last edited by a moderator:
Dear Madame B ningependa kumfahamu/kuwafahamu mgeni/wageni rasmi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…