Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
..inabidi tuonane tukiwa na ajenda mkononi...yale ya kukutana huku dompoo na contesa ziko mezani...tupunguze japo kwa masaa watu waongee..kisha ndio dompoo zianze. Madame BUmeona eee!!!
Ila ukweli kipaji halisi inatakiwa Dar Wing People tukae tujadiliane kuhusu kuiboresha Wing yetu.
Ya kweli hayo kweli??
Hiyo ruhusa babu hawezi kutoa aisee...
Mazazi gani anaweza kukubali watoto/wakujukuu zake watunwe tafunwe hovyo kama karanga??
Babu DC!!
..inabidi tuonane tukiwa na ajenda mkononi...yale ya kukutana huku dompoo na contesa ziko mezani...tupunguze japo kwa masaa watu waongee..kisha ndio dompoo zianze. Madame B
Pole sana mpenzi wangu...., Mzima lakini??:A S-heart-2:hata hainihusu kumbe..........mie sio wa dar
mambo vipi? Nimekumiss sana
wote mnaomsema ODM malabuku zenu! hebu niachieni mume wangu Asprin na mkome kabisaaaaa kumnyanyapaa, eti anakula wake za watu, hao wake za watu vipofu au mnajitoa ufahamu??
waooow beibe vin diesel...... Nilikumiss humu aisee!!!
wote mnaomsema ODM malabuku zenu! hebu niachieni mume wangu Asprin na mkome kabisaaaaa kumnyanyapaa, eti anakula wake za watu, hao wake za watu vipofu au mnajitoa ufahamu??
hii nilikuwa sijui Baba V hivi dokezo lake uliliandika kweli mbona halijafika mezani likiambatana na mapngo kazi na viashiria vya utekelezaji?
...hahahahahaha..haya.nimekubaliiiHahaha... kipaji halisi bhana.
Eti ajenda kwanza,Dompo baadae.
Unafikiri Kikao bila Dompo kitafanyika?
Wengine Hatuwezi Songesha Jumuiya bila stata damuni.
...patina mzima veve....wote mnaomsema ODM malabuku zenu! hebu niachieni mume wangu Asprin na mkome kabisaaaaa kumnyanyapaa, eti anakula wake za watu, hao wake za watu vipofu au mnajitoa ufahamu??