Mtoko wa akina mama hauna madhara....Mkakati upi b52 ana taarifa na huo mtoko?
Hahahaaaaa mtalaaniwa oooohhata kifo kikitutenganisha......tutasubiriana ahera.....tuendeleze.......
Bby usijali....Husband anafahamu nipo nae hapa, amenipa ruhusa.. Ni mkakati mzuri tu shemeji wala usiwe na wasi.
Dah nimegonga LIKE mara mbili kumbe ya pili nime UNLIKE.....Lol ni kama nime Debit then nika Credit the same amount ngoma ikawa 0.....HahahaaaaAsante maziwa mgando kwa kunitetea, Erick gonga like hapa badala yangu, mie wajua ni wa via mchina siku zote!
Wanatafuta kunichonganisha na nitty wangu ila hawataweza!
Teh muda ukifika utakuwemo mkuu usijali....i wish nami ningekuwa kwenye hiyo list ......... any1 interested
Ila K unampa wife kashfa bure....hana hizo tabia mbaya aiseee tutake radhi haraka maana tutakuongeza sup....ni kawaida yenu, hadi mfumwe Live.
Ki-Amy nacho kitabisha.
Utamfundisha mume wangu tabia mbaya...mtafute alieachika mwenzio mwende nae, nitty hapana!
Nini tena Bishanga.....au kaondoka bila kuagaIts 25 minutes after midnight,nitty kalala tayari? Kuna kitu nataka niongee naye.
Teh inabidi ukae na PAW mlijadili kwa undani maana twaweza ona mko poa kumbe Lol ndani hapakaliki...Paw? hizi habari mnazitoa wapi? kweli hiyo couple inastahili "mmmhhh???"
Ulizidi kuturingishia! Ukitamka maneno 10, tisa unamtaja Eliza lol.
Umesemaje?My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
Hahahaaaa si yetu macho....Umesemaje?
Danganyaneni,SL anamuuzia nitts zaabu feki na nitts analipa dola feki,ndo zenu....Waooo! Bora umekuja asali wa moyo wangu...
I love you too honey.,..
Najua and naelewa kuwa huwezi kuwa mlevi kama Bishanga,...
Mwaaaaaah!
Hahahaaaa si yetu macho....
Nini tena Bishanga.....au kaondoka bila kuaga