Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
Waooo! Bora umekuja asali wa moyo wangu...

I love you too honey.,..

Najua and naelewa kuwa huwezi kuwa mlevi kama Bishanga,...

Mwaaaaaah!
 
Sawa bro, kwani siruhusiwi kuwa na wakunipunguza stress na mikiki ya Structual mechanic na Road maintanance???
Kwa sasa hufai..ila ikilazimika ruksa ingawa humu hakuna saizi yako....Lol
 
Nitts yuko arumeru,ye kazi yake anakodishwa kuwabeba wagombea juu kwa juu wakishuka kwenye helikopta,hajalishi ni wa chama gani,akikodiwa na ccm sawa,wakija tlp sawa,chadema sawa,ye mradi hela tu.
Hahahaaa Bishanga huyu jamaa ni noma naona wanashirikiana na Rejao ingawa Rejao ni wa SISIEMU lol
Halafu anakuita wewe mlevi....ingawa namjua yeye ndo mlevi hadi alimsahau mkewe kwa mwezi mzima nikawa namsaidia kumtunza....
 
Mtoa mada, umeainisha Canta alimkwapua Rejao,
nimeanza kuamini kwani wote hawajatia maguu kwenye Uzi huu.
Iweje kutwa nzima Canta asiijibu hii tuhuma?
Mkupuliwa na mkupuaji wote dwiii, wamekula kobis .
 
Hahahaaa Bishanga huyu jamaa ni noma naona wanashirikiana na Rejao ingawa Rejao ni wa SISIEMU lol
Halafu anakuita wewe mlevi....ingawa namjua yeye ndo mlevi hadi alimsahau mkewe kwa mwezi mzima nikawa namsaidia kumtunza....
Tobaaaa!

Thibitisha au kanusha kauli yako kuwa umemsaidia nitty kunitunza..
 
wee nae tangu upate uhedimasta ya hiyo chekechea umeringa.
Mkeo kawa kama mpira wa kona, anagombaniwa tu.

Unakuja kupoza na i lov yu huku bado umevaa?

Hebu mfanyie ze nidfu haraka.

My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
 
Eliza wa Tegeta naye.. Mcharuko sana!.

Wamekutana wote mcharuko, aliyekwambia Bishanga katulia ni nani?
yaani nilikuwa sijui,nimewekeza sana pale,RAV4,nyumba tegeta,wadogo zake nimepeleka ulaya.....we acha tu,hapa ni maumivu makali,poa lakini yote maisha.
sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!
Hahahaaaa Kaazi kwelikweli....
Hizi kashfa nzito....
Kwani na Eliza ni wa kule kwa akina Koku?
 
wee nae tangu upate uhedimasta ya hiyo chekechea umeringa.
Mkeo kawa kama mpira wa kona, anagombaniwa tu.

Unakuja kupoza na i lov yu huku bado umevaa?

Hebu mfanyie ze nidfu haraka.
Aliyekupa rukhsa ya kumquote my sweet husband ni nani?
 
Tobaaaa!

Thibitisha au kanusha kauli yako kuwa umemsaidia nitty kunitunza..
Hahahaaa leo unajifanya hukumbuki eeeee?
Usitukane mamba wakati hujavuka mto......
Atapotea tena then inakula kwako....
Kwanza hadi ulishataka kunigombanisha na Amy kisa unataka kila kitu hadi chakula special cha bby wangu....
Lol
 
Back
Top Bottom