Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Amyner ni shemeji yangu sijawahi kuwa na mahusiano naye kuwa na adabu usitake kuvunja ndoa za watu sasa hivi

Nitty alafu shangaa mgeni huyu Mtindi alivyoshupaa na kiherehere ?
Huyu kama atakua ni binti basi nna hakika primary skuli alishatoa pregy hata mbili, na hakupata hakika waliompregy ni nani na nani ! Kwani Mwl mkuu, Asst mkuu, Class ticha, Kiranja mkuu wote hin'haa mng'wenyo !
 
hata kama mgeni nisiseme jamani??

Basi mtanitenga sana hapa lol

Ah.. Tajiri la Kihaya nalo ni mcharuko?

Haiwezekani hata kidogo...! Tutaanza kunena kwa lugha zetu,muda si mrefu na nimemuona Nitty mahali..
Nilimwambia unamtafuta sana ndio mana kaja huku ila naona wapambe wanachonga sana juu yetu,..

Hawapendi kuona meli yetu na nitty ikielea, wanafanya juu chini waizamishe! Haswa Erick na huyu maziwa mtindi...
 
hata kifo kikitutengania......tutasubiriana ahera.....tuendelee.......
Hii ya kusubiriana ahera nimeipenda!

@Nitonye darling na sie tuige mfano wa preta na mtu chake wanapendana kwa dhati na hawawapi wapambe nafasi...
 
hata kama mgeni nisiseme jamani??

Basi mtanitenga sana hapa lol

Mgeni unafikiri tunakutenga ? Wala hutengwi, nawalaumu tu, waliokukata kimeo mapema! Alafu nimenong'onezwa na source za uhakika na member mmoja ulimPm akusaidie dawa za makire, kwamba una ka'infant umekamakerisha unaijibuje tuhuma hiyo ?
 
Nilimwambia unamtafuta sana ndio mana kaja huku ila naona wapambe wanachonga sana juu yetu,..

Hawapendi kuona meli yetu na nitty ikielea, wanafanya juu chini waizamishe! Haswa Erick na huyu maziwa mtindi...

Besti, nakutafuta sana kesho cancel plan zote except kama ni za wewe na shem, otherwise tukutane nina bonge la mkakati!
 
Hii ya kusubiriana ahera nimeipenda!

@Nitonye darling na sie tuige mfano wa preta na mtu chake wanapendana kwa dhati na hawawapi wapambe nafasi...

Honey hilo ondoa shaka moyoni mwangu umefurika nimpate nani mwingine zaidi ya Sweetylady.
 
Besti, nakutafuta sana kesho cancel plan zote except kama ni za wewe na shem, otherwise tukutane nina bonge la mkakati!
Usijali Amy, wacha nimwulize shemeji ako nitty kama hatutatoka then ntakujulisha mwaya!
 
Hii ya kusubiriana ahera nimeipenda!

@Nitonye darling na sie tuige mfano wa preta na mtu chake wanapendana kwa dhati na hawawapi wapambe nafasi...

nyie tu na roho zenu......sisi mpaka kiama kitutenganishe......
 
Back
Top Bottom