DA uko wapi.
Nimejiiba kutoka kwa Mama Tuli nakuja kwako huonekani bana
Au ndo ...........
I AM HEREBY DECLARING ZIS USEFUL THREAD ZE THREAD OF ZE MONTH March 2012!!!
Makofi kwa kwa kwa kwa kwa.........kwa kapo zote nawatakieni mapenzi mema , zaeni watoto kedekede ili hatimae jf tufungue kindergarten ya kwetu wenyewe!
unapamba historiwa siku hizi?
Usinikumbushe siku hizi misibani, historia inapambwa hadi basi.
Kiliiiii liiiii liiiiiiii,
Well come back my dia X-mke mwenza,
Nilikumissije!
Ila nilikuwa nafarijika kwa uwepo wako wa namna ile lol!
Wow! my Kongosho welcome back.....siku yangu leo itakua nzuri sana.
Alter hivi unaweza kupost habari ambayo source ni Golden Mpoleee na Smile? hahahaha. (Smile, no offense). Nani ana habari ya GM? Hii thread ange hit vibaya!Paw + King'asti (thou nimeona Memo nae kamshadadia wifi yangu; ngoja nimnyang'anye ile cigar inayompa maujanja!)
Russian Roulette + Invisible (Utanisamehe usinirushie makombora nimesikia hii rumor kwa Golden Mpolee, hapa Smile awe mpole)
aisee kuruka geti na kuzamia sherehe kazi kweli.
Afande mkali huyo.
Teh wa fake ni yupi?Ah... Wa orjinali.. Nimefurahikaje kukuona?
Alter hivi unaweza kupost habari ambayo source ni Golden Mpoleee na Smile? hahahaha. (Smile, no offense). Nani ana habari ya GM? Hii thread ange hit vibaya!
Papa Rejao mzima wa afya kajaa tele na salam zako zimefika!
Aiseee!aisee kuruka geti na kuzamia sherehe kazi kweli.
Afande mkali huyo.
Hahaha hhahah,Dah.........alafu ukiwaga busy na Rejao wewe!!.............no wonder hata jana hujapokea simu yangu!
Teh wa fake ni yupi?
Hahahaaaa the milk!
Sijui wewe una mpango gani, but just let me know, I am in for a crazy program.hapo chacha! lol... I miss the gal, nilidhani amerudi bana, nimekuta threads zake zimepandishwa nikasema the gal is in the house..... Kumbe Watu wamemumiso. Last time I heard anaenda shule na yahitaji attention yake yote...lol
What are we doing today?:lock1:
Sijui wewe una mpango gani, but just let me know, I am in for a crazy program.
Kipipi uko na nani? sijakuskia ukitajwa. Na kama huna sema (I have a list of suitable candidates)
Ah... Wa orjinali.. Nimefurahikaje kukuona?
Aiseee!
Nimeshalijua hilo,kuna mageti mengine huwa sisubutu hata kuyakaribia maana maafande wa huko ni noma,
Japo maafande wa mageti yote hata hawasomeki siku hizi,nikupita mwendo wa kunyata tu maana hatuijui siku wala saa!!