maziwa ya mgando
Senior Member
- Mar 29, 2012
- 167
- 37
he he he, hendsamu kwako.
We si unamjua mateka wangu alivyo bomba wewe?
Nitakuwa kama nitoroka kwenye hammer nikahamia kwenye corola.

Aliyekupa rukhsa ya kumquote my sweet husband ni nani?